Nimeumia sana na sijafurahishwa na ushindi wa Tundu Lissu

Wewe maku na wenzio si kila siku unataka chadema ife ka ma chini ya list itakufa si ndio furaha yako au? Ulishawahi pigwa na jiwe acha risasi?
 
Lissu atawapiga kavu kavu ngumi zake havishi glove na hana mpango wa kuvaa helmet kwenye dula open head ni mwendo wa kuhudhuria kliniki na mwisho ni labour
 
Mungu amkumbuke marehemu Rais Aly Hasan Mwinyi huko aliko.Hakuwahi kupewa lugha ngumu kutoka kwa raia wake wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…