Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

Hapana huu ushauri acha kabisa tubu mrudie Mungu wako kwani dini zote zinakataza zinaa ndio maana Roho wa Mungu amekushukia ukawa unajisikia vibaya husitake shetani akutawale
Elewa kwamba amekaa na mkewe kwa wiki mbili bila kufanya mapenzi,na ni kwa kosa alilofanya mkewe na amekuwa mgumu kuomba samahani kuna kitu hapo kinaendelea kwa huyo mwanmke
 
Naona wasiwasi wako ni kuwa E anaweza ku-take advantage ya wewe kulala nae, na kuharibu kabisa ndoa yako, ushauri wangu ni ili "urafiki" wenu uishe itabidi upunguze ukaribu nae, mwisho itakuwa kawaida tu.
 
GO and see a psychiatrist immediately,coz you are insane.
Siku yakiharibika kwa E na mke kiburi kimepanda nyumbani mkuu utakuwa kwenye oven unaiva juu na chini.
Dada wa mimi hujambo?
 
Mkuu hapo ili uweze kumaliza hiyo kadhia ilio kupata, cha kwanza make sure mmemaliza kabisa tofauti zenu kati yako na mkeo., ukiendelea kua na mikwaruzano na wife wako lazima uanzishe relation na huyo E
 
Ahahah usitumie nafasi yako kumuumiza mwingine kwa makosa yako (maamuzi yako mabovu).

Nakumbuka ulimwambia E, "sijui", alipokuuliza kama unampenda mkeo.

Inabidi ujipe wewe uhamisho...
Ni kweli mkuu mara ya kwanza alipoongea na wife, alinihoji kama nampenda na nilimwambia sijui, kwa sababu ya ule mgogoro wetu, ni kweli nampenda.
 
mkuu we endelea kula kimya kimya bt jitahidi sana kutompa ujauzito maana previous game ulipga kavukavu hvyo ni hatari sana .
 
Ni jambo la kawaida ktk maisha. Kati ya wanandoa 100, 90 wanasaliti ndoa zao. Zipo sababu chanya na hasi. Ila usaliti ni usaliti
 
Kaka hiyo unaipiga kibingwa kila itakapohitaji...
Usifanye mapenzi ya kitoto mkeo atashtuka. Ww piga kibingwa tu. Kwa mwezi mara moja.. Toto zuri kama hizo haziachwi.
ni hatari sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…