Mbigirikavu
Senior Member
- Aug 19, 2022
- 101
- 118
- Thread starter
-
- #21
Nadhani benchi la ufundi wameliona hili. Watafute kisu kikatili pale mbele. Bado kidogo tu simba queen inachukua hili kombe.Simba queen haina striker jana wamecheza mpira vizuri na kutawala mchezo ila hawakuwa makini kwenye eneo la umaliziaji na sio mechi ya jana tu mpaka mechi iliyopita hali ilikuwa hvyo hvyo opah Clement akibanwa tu hakuna mwingine wa kuokoa jahazi.
NakaziaUliangalia mpira wa jana wa simba queen?
Mpira nimeuona, kama mnafikiri Simba queen wapo level Moja na wale Mamelodi nenda kaludie kuangali goli walilo fungwa Simba.Nakazia
Mihogo FC wanafanana na Mwanafunzi kilaza darasani anayemcheka kipanga wao, pale Kipanga huyo anapopata alama B kwenye mtihani badala ya A aliyozoea kupata.Kukomaje wakati tunatafuta ushindi wa tatu.
Wewe umekomea wapi?