Nimeumia zaidi kwa simba Queens

Nimeumia zaidi kwa simba Queens

Simba queen haina striker jana wamecheza mpira vizuri na kutawala mchezo ila hawakuwa makini kwenye eneo la umaliziaji na sio mechi ya jana tu mpaka mechi iliyopita hali ilikuwa hvyo hvyo opah Clement akibanwa tu hakuna mwingine wa kuokoa jahazi.
Nadhani benchi la ufundi wameliona hili. Watafute kisu kikatili pale mbele. Bado kidogo tu simba queen inachukua hili kombe.
 
Mpira nimeuona, kama mnafikiri Simba queen wapo level Moja na wale Mamelodi nenda kaludie kuangali goli walilo fungwa Simba.
Mpira ulizungushwa Kwa dk za kutosha kutengeneza Lile goli, icho kitu katika mpira ni kikubwa sana ni level kubwa.
 
Kukomaje wakati tunatafuta ushindi wa tatu.
Wewe umekomea wapi?
Mihogo FC wanafanana na Mwanafunzi kilaza darasani anayemcheka kipanga wao, pale Kipanga huyo anapopata alama B kwenye mtihani badala ya A aliyozoea kupata.

Tofauti ya kilaza na chizi ni ndogo mno.
 
Back
Top Bottom