Nimeumia zaidi kwa simba Queens

Nimeumia zaidi kwa simba Queens

Mbigirikavu

Senior Member
Joined
Aug 19, 2022
Posts
101
Reaction score
118
Pamoja na droo ya 1-1 Singida Big Stars dhidi ya Simba FC, na Yanga kuwapiga Waarabu waoga wa Tunisia, ukweli ni kwamba matokeo ya Mamelody Sundown Ladies 1-0 Simba Queens yameniumiza mara mia ya yote yaliyotokea jana. Yaani natamani mechi irudiwe.

Hata kama Refa kapendelea Mamelody, hakuna cha maana kitakachofanyika cha kuinufaisha Simba Queen. Pongezi kwa Simba yote, namaanisha yote, hakuna wa kulaumiwa.

Mabinti wamefanya kila wawezalo na tumeona walivyopambana kwa jasho na damu, na hapa ndipo panaponiumiza zaidi. Sina cha kulaumu kuanzia uongozi, benchi la ufundi, wachezaji na mashabiki.

Labda ushauri wangu kwa kile nilichokiona ni kwamba, Mamelody walikuwa na nguvu kubwa, na Simba waliingia na mtindo wao wa kasi na nguvu ambapo kipindi cha pili walionekana kuzidiwa kidogo.

Labda wangeanza na mchezo wa kutunza nguvu kwa kupiga pasi fupi eneo la katikati badala ya pasi ndefu ambazo zilikuwa na 'rebounds' nyingi na mipira kurudi haraka kwa mabeki.

Lakini yote kwa yote nimehuzunika kutolewa. Nawaombea ushindi kwenye mechi yao ya mwisho ya kutafuta mshindi wa tatu.
 
Pamoja na droo ya 1-1 singida big stars vs simba sc, na yanga kuwapiga waarabu waoga wa Tunisia, ukweli ni kwamba matokeo ya mamelody Sundown ladies 1-0 simba queens yameniumiza mara mia ya yote yaliyotokea jana. Yaani natamani mechi irudiwe.
a kutolewa. Nawaombea ushindi kwenye mechi yao ya mwisho ya kutafuta mshindi wa tatu.
Na mkomeeeeeee
 
Pamoja na droo ya 1-1 singida big stars vs simba sc, na yanga kuwapiga waarabu waoga wa Tunisia, ukweli ni kwamba matokeo ya mamelody Sundown ladies 1-0 simba queens yameniumiza mara mia ya yote yaliyotokea jana. Yaani natamani mechi irudiwe.

Hata kama refa kapendelea mamelody, hakuna cha maana kitakachofanyika cha kuinufaisha simba queen.

Pongezi Kwa simba yote, namaanisha yote, hakuna wa kulaumiwa. Mabinti wamefanya kila wawezalo na tumeona walivyopambana kwa jasho na damu, na hapa ndipo panaponiumiza zaidi. Sina cha kulaumu kuanzia uongozi, bench la ufundi, wachezaji na mashabiki.

Labda ushauri wangu kwa kile nilichokiona ni kwamba, mamelody walikuwa na energy kubwa, na simba waliingia na style yao ya kasi na nguvu ambapo kipindi cha pili walionekana kuzidiwa kidogo.

Labda wangeanza na mchezo wa kutunza energy kwa kupiga pasi fupi eneo la katikati badala ya pasi ndefu ambazo zilikuwa na rebounds nyingi na mipira kurudi haraka kwa mabeki.

Lakini yote kwa yote nimehuzunika kutolewa. Nawaombea ushindi kwenye mechi yao ya mwisho ya kutafuta mshindi wa tatu.
Walionyesha uwezo mdogo sana.
 
[emoji1752][emoji818][emoji817]
 
Endelea kuumia tu na nakutakia maumivu mema
 
Attachments

  • Tablem.jpg
    Tablem.jpg
    78.7 KB · Views: 2
Simba queen haina striker jana wamecheza mpira vizuri na kutawala mchezo ila hawakuwa makini kwenye eneo la umaliziaji na sio mechi ya jana tu mpaka mechi iliyopita hali ilikuwa hvyo hvyo opah Clement akibanwa tu hakuna mwingine wa kuokoa jahazi.
 
Wale ata warudiane pale Bunju, Simba queen watafungwa tu. kwenye ubora wa timu wametofautiana sana, unachoweza kusema hongera Kwa Simba queen Kwa kufungwa goli Moja ni fair results kwao.
 
Uliangalia mpira wa jana wa simba queen?
 
Back
Top Bottom