Vumilia ndugu yangu nami natokea hapo JUCO ila vumilia wanasema mpaka tarere 15, mimi ni darfuu member tupo pamoja
haya wadau,tuendelee kupeana updates
dah!hv kuna mtu aliyetoka tamisemi baada ya tar 1 april?
Wazo lakuelekea Dodoma ifikapo tar 1/5 lipo???????????????.
Kwa style hii ya uandishi...wanafunzi wanna kazi[/QUOT
Mbona kawaida tu mkuu, kwani anaandika barua ya maombi hapa?
Kwa style hii ya uandishi...wanafunzi wanna kazi[/QUOT
Mbona kawaida tu mkuu, kwani anaandika barua ya maombi hapa?
hahahahahaha!mwambie mkuu