- Thread starter
- #61
Vumilia ndugu yangu nami natokea hapo JUCO ila vumilia wanasema mpaka tarere 15, mimi ni darfuu member tupo pamoja
Ha ha ha umenikumbusha mbali sana mpe hai ngosha aya yote kasababisha polcapy mpaka time hii tupo kitaa shenz iiii sana yule father