Nimeumwa ghafla majira saa sita(6) mchana wa leo, Nipo hospitali nimetundikiwa drip!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na atakomaaaa mbna. Na alivyo mbishi sasa mweeeeh
🀣🀣 mwambie ahakikishe anakunyw Maji ya kutosha
Hebu muambie huyo mshikaji wako, mie nampenda sanaaaa, sijiwezii kwakee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IamBrianLeeSnr kaoge na maji ya bahariπŸ˜€ ulete mrejesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mchagaa niwachee kwanii.
Sasa huyo babuu unamsikilizaa naweee??

Muambie mdogo ako mgonjwa nikutane nae live afu alete mrejeshoo JF. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sasa wewe weka picha tukufahamu unajificha sana au una mategeπŸ˜€ weka passport
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ntakuua wallah. Msumbufuu.
haha sasa wewe mbona unapend pasipokuw na mapenzi ya kweli. Njoo huku owa Mrombo upate supu ya mbuziπŸ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hatarii sanaa unaumwaaa viungoo vinaumaa hatarii.. Ukiponaa zile siku 3 mbelee ni kama bado unaumwaa unasweat kama mwendawazimui[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Aisee huu ugonjwaa hatariii
 
Hatarii sanaa unaumwaaa viungoo vinaumaa hatarii.. Ukiponaa zile siku 3 mbelee ni kama bado unaumwaa unasweat kama mwendawazimui[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Aisee huu ugonjwaa hatariii
Kweli yani ndio ninayopitia wakati huu, Mateso makali acha tu mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…