Nimeumwa na mbwa

Nimeumwa na mbwa

sajosojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
1,021
Reaction score
636
helo wadau nimepata janga la kuumwa na mbwa wa jirani, nimemuuliza jirani kama mbwa wake ilichomwa sindano, ya kinga, nimeambiwa alishachomwa. sasa wataalamu ningependa kujua kama kuna haja ya mimi kuchoma sindano, maana alinichubua kidogo
 
Ndugu yangu
Haja ya kuchoma sindano ipo sana, na ningekushauriuache shughuli zako leo utafute chanjo

  1. Huna hakika kama mwenye mbwa alimkinga huyombwa
  2. Huna uhakika kama sindano ya kinga ilijenga ‘immunity’kwa mbwa

Hatari iliyoko mbele ni kuwa kama 1,2 hapojuu hazitakuwa sawa, uwezekano wa kuambikizwa kichaa cha mbwa ni Mkubwa

Kumbuka zikipita siku kadhaa na kamaumeambukizwa hakuna dawa
Na kumbuka ugonjwa hauna daw ahata ukiugunduamapema

helo wadau nimepata janga la kuumwa na mbwa wa jirani, nimemuuliza jirani kama mbwa wake ilichomwa sindano, ya kinga, nimeambiwa alishachomwa. sasa wataalamu ningependa kujua kama kuna haja ya mimi kuchoma sindano, maana alinichubua kidogo

Nenda hospital ukachome sindano ya rabies
 
Thanks wadau kwa ushauri, hapa nipo naelekea hospital
 
helo wadau nimepata janga la kuumwa na mbwa wa jirani, nimemuuliza jirani kama mbwa wake ilichomwa sindano, ya kinga, nimeambiwa alishachomwa. sasa wataalamu ningependa kujua kama kuna haja ya mimi kuchoma sindano, maana alinichubua kidogo

Pole Sana Na Mungu Mkubwa Huyo Mbwa Hana Kichaa!
 
mwenye Mbwa amekupa majibu ya haraka sana. hata mm ningekwambia amechanjwa.

Mbwa akipata chanjo au matibabu lazima ijazwe kwenye kadi yake for record keeping and proof.

Hujaonyeshwa kadi. Bora umewahi hospital.
 
Back
Top Bottom