Nimeupenda huu mfumo wa League ya Croatia

Nimeupenda huu mfumo wa League ya Croatia

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu CROATIA Bana League yao ina timu 10. Na kila timu head to head ya home&away zinakutana Mara 4 Yaani twice at home and twice away.

Jumla inachezwa Gemu 36 Mpaka apatikane mshindi. Bingwa Anashiriki UEFA

Mshindi wa 2&3 hucheza Europa ligue. Timu inayoshuka daraja ni moja tu.
 
Mimi nimependa sana Mfumo Wa League Yao, Just imagine Nchi Zenye Uchumi Mzuri Kama [emoji1082] league Yao Ina team chache Lakini Sisi Nchi Za Dunia ya Tatu Tuna team Lukuki Mpaka Tunashindwa Hata kuziheandle Vzr, Mpaka Ligi inaishi team Nyingine Hazijakutana.
 
Mkuu umependea nini,huoni wamebana sana team. Halafu team zinapokutana mara mbili pana msisimko flani,assume Yanga na Simba wakutane mara nne kwenye ligi tu huoni msisimko unashuka
Tofauti Yao na sisi.

Kwanza wachezaji wanapata mazoezi ya kutosha. Round 4 siyo mchezo plus Gharama za kuendesha ligi
 
Asante kwa kunifungua brain hata mimi ligi ile ilikuwa inanichanganya sana timu 10 tu lakini ukubwa wa msimu wao ni sawa na ligi zenye timu 20
 
Mimi nimependa sana Mfumo Wa League Yao, Just imagine Nchi Zenye Uchumi Mzuri Kama [emoji1082] league Yao Ina team chache Lakini Sisi Nchi Za Dunia ya Tatu Tuna team Lukuki Mpaka Tunashindwa Hata kuziheandle Vzr, Mpaka Ligi inaishi team Nyingine Hazijakutana.
Usidhani wamependa kuwa na timu chache, lazima ujue kuwa hata population yao ni ndogo, kama milioni 4 na kidogo hivi, kwa hiyo hata watu wao wanaocheza soka ni wachache pia kulinganisha na Watanzania. Hivi nchi yenye watu milioni 4 unawezaje kulinganisha na yenye watu milioni 60 ? Proportion ya wacheza soka pia inatoka kwenye idadi ya watu, so wanalazimika kuwa na ligi yenye timu chache
 
Croatia ni kanchi kadogo chenye watu milioni 4, nusu ya DSM. Huwezi kulinganisha mfumo wake na taifa la watu milioni 60.

Mfumo wetu ungekuwa kama wa ujerumani,

Ligi kuu - timu 18
Daraja la 1 - timu 18
Daraja la 2 - timu 18

Baada ya hapo,
Ligi za kanda daraja la 1 - timu 18/20
Ligi za kanda daraja la 2 - timu 18/20

1.Kanda ya pwani
2.Kanda ya kusini
3.Nyanda za juu kusini
4.Kanda ya kati
5.Kanda ya magharibi
6.Kanda ya ziwa
7.Kanda ya kaskazini
 
Well spoken...yaan tuiboreshe ligi yetu hizo ligi za daraja la kwanza na lapili zichezwe kama uingereza na ujeruman na pia tff ianze mkakati wa kuboresha viwanja iwabane ccm vile viwanja either waviachie au waweke pitch just pitch hata ile ya bandia tu
 
Mimi nimependa sana Mfumo Wa League Yao, Just imagine Nchi Zenye Uchumi Mzuri Kama [emoji1082] league Yao Ina team chache Lakini Sisi Nchi Za Dunia ya Tatu Tuna team Lukuki Mpaka Tunashindwa Hata kuziheandle Vzr, Mpaka Ligi inaishi team Nyingine Hazijakutana.
Hiyo kutokutana Ni mipango hovu baina ya baadhi ya vilabu na wenye mpira wao tff. Ni njia mojawapo ya kufavour timu flani kuelekea kumpa ushindi was ligi ikitokea mambo yake siyo mazuri mwishoni. Na ujinga huu hutokea huku kwetu bars jeusi. Sisi Ni weusi kuanzia rangi yetu na roho zetu pia, tulilaaniwa tokea kizazi Cha Nuhu.
 
Back
Top Bottom