Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Tofauti Yao na sisi.Mkuu umependea nini,huoni wamebana sana team. Halafu team zinapokutana mara mbili pana msisimko flani,assume Yanga na Simba wakutane mara nne kwenye ligi tu huoni msisimko unashuka
Usidhani wamependa kuwa na timu chache, lazima ujue kuwa hata population yao ni ndogo, kama milioni 4 na kidogo hivi, kwa hiyo hata watu wao wanaocheza soka ni wachache pia kulinganisha na Watanzania. Hivi nchi yenye watu milioni 4 unawezaje kulinganisha na yenye watu milioni 60 ? Proportion ya wacheza soka pia inatoka kwenye idadi ya watu, so wanalazimika kuwa na ligi yenye timu chacheMimi nimependa sana Mfumo Wa League Yao, Just imagine Nchi Zenye Uchumi Mzuri Kama [emoji1082] league Yao Ina team chache Lakini Sisi Nchi Za Dunia ya Tatu Tuna team Lukuki Mpaka Tunashindwa Hata kuziheandle Vzr, Mpaka Ligi inaishi team Nyingine Hazijakutana.
Well spoken...yaan tuiboreshe ligi yetu hizo ligi za daraja la kwanza na lapili zichezwe kama uingereza na ujeruman na pia tff ianze mkakati wa kuboresha viwanja iwabane ccm vile viwanja either waviachie au waweke pitch just pitch hata ile ya bandia tuCroatia ni kanchi kadogo chenye watu milioni 4, nusu ya DSM. Huwezi kulinganisha mfumo wake na taifa la watu milioni 60.
Mfumo wetu ungekuwa kama wa ujerumani,
Ligi kuu - timu 18
Daraja la 1 - timu 18
Daraja la 2 - timu 18
Baada ya hapo,
Ligi za kanda daraja la 1 - timu 18/20
Ligi za kanda daraja la 2 - timu 18/20
1.Kanda ya pwani
2.Kanda ya kusini
3.Nyanda za juu kusini
4.Kanda ya kati
5.Kanda ya magharibi
6.Kanda ya ziwa
7.Kanda ya kaskazini
Hiyo kutokutana Ni mipango hovu baina ya baadhi ya vilabu na wenye mpira wao tff. Ni njia mojawapo ya kufavour timu flani kuelekea kumpa ushindi was ligi ikitokea mambo yake siyo mazuri mwishoni. Na ujinga huu hutokea huku kwetu bars jeusi. Sisi Ni weusi kuanzia rangi yetu na roho zetu pia, tulilaaniwa tokea kizazi Cha Nuhu.Mimi nimependa sana Mfumo Wa League Yao, Just imagine Nchi Zenye Uchumi Mzuri Kama [emoji1082] league Yao Ina team chache Lakini Sisi Nchi Za Dunia ya Tatu Tuna team Lukuki Mpaka Tunashindwa Hata kuziheandle Vzr, Mpaka Ligi inaishi team Nyingine Hazijakutana.