Nimeupenda huu mfumo wa Rais Samia kuwatumia Wakongwe Prof Kabudi, Mkuchika, Lukuvi na Wassira kwa Kazi maalumu. CCM sasa haina mshindani!

Nimeupenda huu mfumo wa Rais Samia kuwatumia Wakongwe Prof Kabudi, Mkuchika, Lukuvi na Wassira kwa Kazi maalumu. CCM sasa haina mshindani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Huu utaratibu ni mzuri sana.

Kwenye mambo ya kimataifa na mikataba nyeti unamkuta Prof Kabudi

Ukija kwenye Ulinzi na Usalama unamkuta mzee Mkuchika

Utawala wa ndani unamkuta mzee Lukuvi

Kule kwenye Siasa za Maridhiano utamkuta Nguli la siasa za Bongo Komredi Wassira

Mungu wa mbinguni akubariki sana Rais Samia!
 
Ningepataa wasaa wa dakika 1 kusema chochote ningemuomba Prof.Kabudi aandike historia ya mapambano ya kiuchumi ya Tanganyika kabla na baada ya Uhuru na kitabu hicho kipelekwe UNESCO Kama zawadi siku ya kiswahili duniani
 
kwani kabudi ni mchumi.watu mnachanganya vitu.yeye ni nguli wa sheria na si uchumi.
 
kwani kabudi ni mchumi.watu mnachanganya vitu.yeye ni nguli wa sheria na si uchumi.
Prof.Luoga ni mwanasheria lakini ni gavana wa benki kuu nafasi inayomfanya kuwa mchumi namba moja nchini.

Hoja yangu ni kwamba Prof.Kabudi ni mtu anayejua Mambo mengi Sana kuanzia sheria, siasa, diplomasia na uchumi hivyo kuandika kitabu kinachohusu mapambano ya kiuchumi kabla na baada ya Uhuru sio jambo gumu kwake kwa kuzingatia uwezo alionao.
 
Prof Kabudi na mh Lukuvi hawa ni viongozi makini na wenye uwezo mkubwa kiutendaji.
Lukuvi au Kabudi vitu gani walivitenda ambavyo hadi leo vinaishi na vinasaidia jamii katika maisha ya kila siku?
 
Kuna JK kakaa kwa kutulia. Cku akitua Nby, basi ujue uchaguzi mkuu wa nchi hiyo 'umekwisha' 😀😀😀
Cjui JK ana 'teknolojia' gani! Maana kila pakitokea uchaguzi Africa, yeye huwa anaitwa kama 'observer' 😀😀😀
 
Back
Top Bottom