johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
kwani kabudi ni mchumi.watu mnachanganya vitu.yeye ni nguli wa sheria na si uchumi.Ningepataa wasaa wa dakika 1 kusema chochote ningemuomba Prof.Kabudi aandike historia ya mapambano ya kiuchumi ya Tanganyika kabla na baada ya Uhuru na kitabu hicho kipelekwe UNESCO Kama zawadi siku ya kiswahili duniani
Prof.Luoga ni mwanasheria lakini ni gavana wa benki kuu nafasi inayomfanya kuwa mchumi namba moja nchini.kwani kabudi ni mchumi.watu mnachanganya vitu.yeye ni nguli wa sheria na si uchumi.
Lukuvi au Kabudi vitu gani walivitenda ambavyo hadi leo vinaishi na vinasaidia jamii katika maisha ya kila siku?Prof Kabudi na mh Lukuvi hawa ni viongozi makini na wenye uwezo mkubwa kiutendaji.
Ulipotea sanaPosho yako ikitoka unakuwaga mjinga haswa