Nimeushuhudia mwezi

Nimeushuhudia mwezi

Hata usingeushuhudia leo ni tarehe 30 shaban hivyo kesho ni mfungo shehe
 
Naam, nawapasha na we zangu kuwa kwa macho yangu nimeshuhudia mwezi mtukufu umeandama.M/Mungu away alien fungal njema.
Thread yako ingekuwa na mantiki kama ungeuona mwezi jana ijumaa tarehe 1 April.

Lakini kwa mahesabu kesho jumapili tarehe ni Ramadhan wala akuhitajiki tena swala la kuona mwezi.

Halafu hiyo device yako angalia keyboard settings ondowa prediction ili usiwe unachekesha wakati wa kutype.
 
Yani kaandika kama anakimbizwa 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom