Nimeuza kiwanja na kununua simu ya ndoto yangu

Tittle yako ilibidi isomeke hivi..
"Nimeuza kiwanja na kununua simu ya ndoto yangu je, mimi ni nani"?
 
Kwanini usipongezwe wakati umetiza ndoto zako.Tafsiri ya mafanikio ni tofauti kati ya mtu na mtu,mtu mmoja mafanikio ni nyumba,mwingine simu n.k.
Kwa mara nyingine hongera sana mkuu kwa kutimiza ndoto zako.
[emoji24][emoji24][emoji24] Aiseeee Sijui nifanye nini mimi mtoto wa watu lakini
 
100% wanaonzisha nyuzi za aina hii ni me! Binafsi nashindwa elewa! Shida nini? Kwa siku ni nyuzi hizi hizi na ni wanaume🚮
 
Tittle yako ilibidi isomeke hivi..
"Nimeuza kiwanja na kununua simu ya ndoto yangu je, mimi ni nani"?
[emoji24][emoji24][emoji24]Mkuu, ya kutokea yamekwisha tokea, tujaribu kutazama tunafanyeje ili simu irudi dukani na kiwanja kirejeshwe. Nisaidieni mimi mwenzenu nitakufa na presha yaani dah
 
100% wanaonzisha nyuzi za aina hii ni me! Binafsi nashindwa elewa! Shida nini? Kwa siku ni nyuzi hizi hizi na ni wanaume[emoji706]
Hapana mkuu, unasema hivyo kwa kuwa hayajakukuta. Yakikukuta utalia kilio cha kusaga meno.[emoji24][emoji24]
Hapa nilipo najuta kuzaliwa yaani[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kufanya nini kwa mganga weye?Ukitaka kukiona kiwanja "kilichokuwa" chako unafungua google map.Unakitazama halafu unaendelea kutazama tik-tok.Safi kabisa.
Jaman[emoji24][emoji24][emoji24] Kwani hakuna njia naweza kumtafuta mganga tukamtupia bomu mwenye kiwanja akaamua kusamehe tu? Hata kama atadai milioni? Walau nikakope nirudishe hadhina[emoji24][emoji24] Watu watanionaje mimi[emoji24][emoji24]
 
Kiwanja kitu gani weye?Uliwahi kuona ndugu wa kutoka bara Hindi wanajengajenga au kumiliki viwanja kijinga?Acha zako.Hiyo laki mbili iliyobaki nenda ukanywe komoni na marafiki mfurahi.Maisha kitu gani kwani?
 
Mkuu, unasema hivi kwa sababu hayajakukuta. Nitakuwa mgeni wa nani mimi hapa chini ya jua mimi? Nimechafua jina la ukoo mimi [emoji24][emoji24][emoji24] Nimeuza kiwanja mkuh, nimedhurumiwa kiwanja mimi mchana kweupe huku najiona[emoji24]
 
Tubu kama alivyo tubu Ndugae nikupe maujanja.
 
Mkuu, nishauri nifanyeje? Ndo kwanza ina siku moja. Kwani nikiirudisha hawawezi kunikubalia? Japo wanikate 50k kama faini? [emoji24][emoji24] Nataka nitejeshe kiwanja mkuu
Nafaka kashakwambia tafuta mteja wa kumuuzia uone anakwambia bei gani.
kama utabahatika kupewa ata 2m kanunue bodaboda umpe kijana
 
M Mwishowe utakuwa shoga we jamaa! Samahani mods na mtoa mada kwa lugha yangu kali
 
.
 
Attachments

  • 198351-Hot-Tea-Vapor (1).gif
    963.4 KB · Views: 3
Nafaka kashakwambia tafuta mteja wa kumuuzia uone anakwambia bei gani.
kama utabahatika kupewa ata 2m kanunue bodaboda umpe kijana
Dah, Sasa mkuu, hata kama nitaiuza kwa 2m na kununua bidaboda, hiyo 7k ya siku nitakayoletewa itanifaa nini kurudisha kiwanja? Hiyo hela ya kununua kiwanja pembezoni mwa barabara kama kile nitaifikisha lini? Je, niwadanganye vipi ndugu kuhusu kiwanja kwa sasa ili wanielewe wasinichukulie kama shetani? [emoji24][emoji24]
 
M
Mwishowe utakuwa shoga we jamaa! Samahani mods na mtoa mada kwa lugha yangu kali
Badala unishauri, ndo kwanza unanizidishia machungu. Ila binadamu lakini, kweli kwenye matatizo unabaki mwenyewe nimeamini[emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…