Nimeuza kiwanja na kununua simu ya ndoto yangu

kama hiyo simu inakuingizia zaidi ya 7k basi kaa nayo, uijengee na kaofisi kake
 
Safi sana mkuu fanya kile moyo wako umependa na unahisi kitakupa furaha.

me nadhani tumpongezeni kwa uthubutu.
 
Vijana wasio na mchango kwa Taifa
Mkuu, naomba ushauri wa nini cha kufanya. Napitia wakati mgumu sana, naogopa kukaa ndani peke yangu maake naweza kujichoma kisu[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Safi sana mkuu fanya kile moyo wako umependa na unahisi kitakupa furaha.

me nadhani tumpongezeni kwa uthubutu.
Mkuu, sina furaha kwa sasa. Moyo unaweweseka, kiwanja sio karatasi mkuu[emoji24][emoji24]
 
Hiyo laki tatu unga bundle la Super speed sijui super faster ndio uta enjoy hiyo simu
 
Unaacha kufurahia maisha na mkeo mnajibana mnunue asset, mjenge msomeshe watoto ili badae wasije oata shida mkiwa mmetoweka duniani, mwisho wa siku unakufa kwa maradhi yaliyotokana na msongo wa mawazo, kukosa mda wa kupumzika na kufurahia maisha unakufa unaacha Mali kwa wanao wanao mwisho wa siku ndio hawa pumbafu kabisa

MY TAKE
Jamani tuishi kula vizuri, lala vizuri furahia maisha na mkeo watoto watatafuta na wao si mnaona upumbafu huu
 
Hiyo laki tatu unga bundle la Super speed sijui super faster ndio uta enjoy hiyo simu
Aisee[emoji24][emoji24] Kweli dunia ni mapito. Kabisa wakuu mmeniacha peke yangu kabisaa[emoji24][emoji24] Sijui ukoo utanielewaji mimi mwenzenu, hadu nimeanza kupata na homa
 
Nina laki tatu niuzie mkuu
Dah[emoji29] Yaani hata 10% ya gharama ya simu haifikii. Si bora niitishe kikao cha ukoo niiweke simu kati kati yao ili waichalange mapanga mbele yangu[emoji24][emoji24]
 
[emoji24][emoji24]Usiseme hivyo mkuu, unafanya nione kama laana itanitafuna mkuu
 
Sio wewe tu, kuna aliyeuza nyumba akanunua gari zuri la kutembelea ili aendane na wakati. Labda nafikiria kuna wakati ubongo unachanganyika na makamasi. Uwezo wa maamuzi unakuwa mdogo.
 
Nina 1.5m cash NIUZIE HIYO SIMU na anzisha biashara mara moja ili UJE UNUNUE KIWANJA KIKALI KULIKO ULICHOKIUZA....
 
Sio wewe tu, kuna aliyeuza nyumba akanunua gari zuri la kutembelea ili aendane na wakati. Labda nafikiria kuna wakati ubongo unachanganyika na makamasi. Uwezo wa maamuzi unakuwa mdogo.
[emoji24][emoji24][emoji24]Aisee, badala ya kunifariji, umeamua kuniulia mbali kabisa. Amaa kweli, sifai tena kuishi[emoji24][emoji24]
 
Nina 1.5m cash NIUZIE HIYO SIMU na anzisha biashara mara moja ili UJE UNUNUE KIWANJA KIKALI KULIKO ULICHOKIUZA....
Dah, mkuu, fanya walau mbili na laki tatu. Nakuomba lakini, walau nitakuwa na uhakika wa kufanya biashara fulani, ndani ya miezi sita nikafanikisha pesa hata ya kununua kiwanja kwa 10m, japo sidhani kama kitakuwa eneo zuri kama lile

Mkuu, umekubali? Walau tugawane hasara tu, hakuna namna[emoji24][emoji24]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Zuzu namba wani
Aisee, badala watanzania mnipe moyo, ndio kwanza mnanisanifu dah, sio poa kwa kweli. Naelekea duka la madawa sasa hivi kufanya yangu [emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…