Nimeuza roho yangu kwa Mammon

Mkataba huu ni wa moto ( mahul moto) kuna nimefanya kwa shuruti baada ya kumwita mammon.
Nilipoteza fahamu (frequency change ) nikaenda kwenye dimensions zingine.

Huku ndipo nilipojukua kiapo hicho kwa kipigo kikali
Kwa hiyo ilikuwa lazima ukubali kwani ukiona masharti huwezi si unakataa au , na vipi utajiri umepata au ndo unatumikishwa tuu
 
Nimekuwa nikifanya kazi na spirit nyingi tofauti ,ila sijawahi kula kiapo cha kuikufuru torati
Ndio maana naomba msaada ya mtu nayejua kuvunja mkataba huu wa damu
kuna watu humu walikuwa katika njia yako hiyo,lakini katika viwango tofauti(mnazidiana). Walileta shuhuda zao za mateso ya huko na shuhuda juu ukombozi mpya,mfano mzuri kuna huyu Tanzanian Dream .ametaja njia iliyomtoa huko
 
Utajiri wangu mimi ni siri ila nimeupata na nitaendelea kuuwa hivi hivyo
Kama umeupata basi tafuta njia ya kukufanya uwe untraceable kwenye ulimwengu wao kama ulivyomuita kuna namna pia ya kuwahadaa, au kimbilia kanisani kafanye toba. hivi ukijitoa huko kwa kwenda kanisani hizo mali unaendelea kuwa nazo au?
 
Unapata shidagani ,
 
ni zaidi ya mchungaji, mwanasaikolojia AI ni 🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…