Nimeuza roho yangu kwa Mammon

Nyie hyo AI mbona inatisha hivyo
 
Kwann mnapenda utajiri wa mateso kwa kuingia mikataba na majini wakati unaweza pata utajiri kupitia malaika bila masharti cha muhimu umjue malaika wako wa utajiri ni nani kupitia number yako ya kiroho ni ipi kila mtu duniani ana code number yake ndiyo imebeba kusudi la maisha ya mtu
 
Sijaelewa "shetani hawezi kununua kitu anachoweza pata bure" una maana anaweza kupata your soul bure??how??nipe elimu mkuu
 
sasa ukitaka kuwachota wabongo mazima ulete mada kama izi za mambo ya giza na utajiri usioeleweka chanzo chake. adi apa tayari ni kurasa ya nne. uvivu tu wa kuchapa kazi kihalali.
Hata mambo ya kipumbavu ya kisiasa yanachota akili ,,huku wakiendelea kua matajiri wa kutisha sisi tunawajadili wanavyobwatukiana kwenye media na kusoma habar zao humu..mbona pia hauzungumzii mada za kipumbavu za mapenzi, mara nimelala na x, mara sjui mpenz wangu anapenda kunyonya uboo, mara single mothers, hakuna Cha maana yote usenge tu, Bora hata wanaotoa konekshen za maana za kupata pesa
 
Kitabu hiko mbona hakioneshi hio bargain uliyoingia..
 
Haya tuambie yamekupa nini hayo mapepo baada ya kujitoa kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…