Nimeuza roho yangu kwa Mammon

Munguupendo😁😁
 
Hakuna muuzaji hapa, huyu anachangamsha genge tu.
Mammon ni demon wa daraja la juu sana, mwenye uwezo na nguvu za kutisha. Huwezi uza nafsi yako leo na leo hiyo hiyo ukapata ufahamu kuwa umekosea, muda ule ule unatamka neno la mwisho la kiapo unakuwa si wewe tena, huna tena control na nafsi yako, atakuendesha atakavyo mwenyewe.
Mwanzoni utafurahi maana utapata kila hitaji lako iwe ni utajiri, mamlaka, umaarufu nk hivyo kupata neema ya kutambua kuwa umekosea ni ngumu sana.
Pia kaa utambue kuwa ukisha kula kiapo hakuna mwenye uwezo wa kukukomboa, cheza na demon wa madaraja ya chini kama Nitika na wengine wa ngazi yake siyo mkubwa Mammon
 
Mtafute mchungaji katunzi christos assemblies of God,maeneo ya mbagala florian katunzi mtafte facebk utapata namba za kanisa huyu atakusaidia for sure bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…