Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,001
- 1,591
Mim sio kama nataka kukupatia dukan hapa ni kutoka sweden nataka nikupatie kutoka kwenye kampuni yetu bei zinaanzia 14,000,21,000 na 34,000 moja tu ni originalNajua zinapouzwa na hapa nilileta coz nilikuwa najisikia kushare ila sio kama sijui zinapouzwa.....thanks though
Okay.......nashukuru sanaMim sio kama nataka kukupatia dukan hapa ni kutoka sweden nataka nikupatie kutoka kwenye kampuni yetu bei zinaanzia 14,000,21,000 na 34,000 moja tu ni original
Umeonaeeewachina ni washenzi ukishajua signs za OG hawatakupa na ukiwa makini wengi wanadanganya watu
SeenGreat thinker
Njoon kwangu mupate vitu orihinalpole mwanangu Curious gal sasa hv mie nahis wimbi la vitu fake limahamia kwenye cosmetics!yaan yametoka mafoundation fake mapowder fake hatar !tena km hyo hudda lipstic zimetoka fake balaaa! ila nenda kamwambie anajiharibia wateja!
Njoon kwangu mupate vitu orihinal
Nitakusaidia bwanakwa bei ya mwanachamaoriflame mie mnanichosha kwenye lipstic na rangi za kucha !hapana bwana bei sana !
Nitakusaidia bwanakwa bei ya mwanachama
pole mwanangu Curious gal sasa hv mie nahis wimbi la vitu fake limahamia kwenye cosmetics!yaan yametoka mafoundation fake mapowder fake hatar !tena km hyo hudda lipstic zimetoka fake balaaa! ila nenda kamwambie anajiharibia wateja!
Acha tu mamy yani leo nimeshangaa sana ila mamy ina maana wauzaji wenyewe wanakuwa hawajui kama wananunua cosmetics fake au wanatufanyia makusudi??? So wapo tayari kupoteza wateja????
Hapa nimeshindwa kuelewa maana kama mimi huyo dada ndo sitaenda kununua tena kwake
Acha tu mamy yani leo nimeshangaa sana ila mamy ina maana wauzaji wenyewe wanakuwa hawajui kama wananunua cosmetics fake au wanatufanyia makusudi??? So wapo tayari kupoteza wateja????
Hapa nimeshindwa kuelewa maana kama mimi huyo dada ndo sitaenda kununua tena kwake
Ila huyo ni mdada but inawezekana hakujua kama ni fakenadhan wengine hawaelewi ! tena ukute ni men hatumii ndo kabsaa