Nimeuziwa lipstic fake

Nimeuziwa lipstic fake

Najua zinapouzwa na hapa nilileta coz nilikuwa najisikia kushare ila sio kama sijui zinapouzwa.....thanks though
Mim sio kama nataka kukupatia dukan hapa ni kutoka sweden nataka nikupatie kutoka kwenye kampuni yetu bei zinaanzia 14,000,21,000 na 34,000 moja tu ni original
 
Okay.......nashukuru sana
 
fdfff8d76d489865431411f6b718a376.jpg
 
wachina ni washenzi ukishajua signs za OG hawatakupa na ukiwa makini wengi wanadanganya watu
 
pole mwanangu Curious gal sasa hv mie nahis wimbi la vitu fake limahamia kwenye cosmetics!yaan yametoka mafoundation fake mapowder fake hatar !tena km hyo hudda lipstic zimetoka fake balaaa! ila nenda kamwambie anajiharibia wateja!
 
mtakuja kupaka na vinyesi midomoni,chukua samli,asali na mafuta ya nazi changanya uwe unapaka,ni bonge ya lipshine hakuna duniani
 
pole mwanangu Curious gal sasa hv mie nahis wimbi la vitu fake limahamia kwenye cosmetics!yaan yametoka mafoundation fake mapowder fake hatar !tena km hyo hudda lipstic zimetoka fake balaaa! ila nenda kamwambie anajiharibia wateja!

Acha tu mamy yani leo nimeshangaa sana ila mamy ina maana wauzaji wenyewe wanakuwa hawajui kama wananunua cosmetics fake au wanatufanyia makusudi??? So wapo tayari kupoteza wateja????

Hapa nimeshindwa kuelewa maana kama mimi huyo dada ndo sitaenda kununua tena kwake
 
nadhan wengine hawaelewi ! tena ukute ni men hatumii ndo kabsaa
 
Back
Top Bottom