Nimeuziwa lipstic fake

Nimeuziwa lipstic fake

2792fe58314fe1f5eefa2953fb8d9270.jpg
Zafaa kuendea kwa bae ukitoka mdomo mweupe kama ukupaka cjui imeenda wapi hata mi cjui tu?
 
Ila huyo ni mdada but inawezekana hakujua kama ni fake
kama bado hujamwambia mi nashauri tuu umjulishe. Maana inawezekana kweli hajagundua kauziwa lipstick fake,kwahyo we ndo utamfungua macho,okoa biashara ya mwenzio.
 
NI PRODUCT GANI HIYO YA LIPSTIC?

PIA NENDA KAMWAMBIE KAMA NI MFANYA BIASHARA MZURI ATAKUELEWA NA KUKUPA SABABU HATA KAMA HAWEZI KUKURUDISHIA HELA YAKO
 
Back
Top Bottom