Nimevamiwa kwenye plot yangu

Kama kiwanja kimepimwa na hati ipo kwa jina lako na wewe unayo hiyo hati basi kiwanja ni chako, we kiulaini kabisa hakikisha unalipia kodi kama kawaida na unatunza risiti, hao wengini kama hawana hati waambie wametapeliwa na kisheria imekula kwao
we endelea na ujenzi manake hata wakienda polisi wataambiwa waonyeshe hati au ofa vitu ambavyo hawana,
 
usjali kaka bado uko salama. Achana na longo longo za mjini fanya yafuatayo1. lipia kodi kiwanja chako uwe hudaiwi ,2. andaa michoro ya ujenzi submit manispaa kwa ajili ya kibali 3. anza ujenzi mapema hata kabla ya kibali kwa kufuata proposed plan . msingi wa mawazo haya ni hivi.1. ni kweli hujakiendeleza kiwanja chako kwa mujibu wa sharia but bahati nzuri mwenye ardhi haja chukua hatua so anza ujenzi ili uwe umeondokana na kosa la kwanza 2. kazi ya hati ni kuthibitisha haki yako juu ya ardhi husika na bahati nzuri sharia iko wazi haki yoyote inayotolewa juu ya haki ya awali ni batili hivyo bado una merit katika ardhi hiyo.3 . ukishaanza ujenzi atakaye jitokeza ndio atawajibika kwenda mahakamani maana yeye ndo atakua na shida aidha labda kama kutatokea tress pass ndo wewe unaweza kwenda kwenye mamlaka husika. nakushauri achana na wajumbe wa mtaani maana mara nyingi wao ndio wanasaidia matapeli kucheza izo game chafu. ngoma ikiwa ngumu nenda polisi toa taarifa kasha Manispaa na wizarani hao wajumbe achana nao kwanza hata pecuniary jurdisdiction itakuwa juu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…