Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
Habari zenu wana JF
naombeni mnisaidie jambo hili ambalo linanitatiza sana,ili nipate pakuanzia kwani uelewa wangu wa sheria ni mdogo
mwaka 2007 nilinunua kiwanja cha serikali mbweni dsm,pale wizara ya ardhi,wakati huo sikuwa na fedha ya kutosha kwa ajili ya ujenzi.ila nilikuwa na natembelea almost kila mwaka maana niliamini hakuna haja ya mlinzi kwa kuwa nina hati za serikali na kila mwaka ninalipia kodi
sasa mwaka huu nimedunduliza vihela plus mikopo bank nataka kuanza ujenzi(18 months project),nakuta kuna watu 5 pia wameuziwa same plots na watu wasiofahamika ila wote watano hawana hati za kumiliki za serikali kama mimi.yaani wameandikishana tu kwa wanasheria au mahakamani
natayari malumbano yameshaanza ila mm nimewaambia muda wowote naanza ujenzi maana ni na hati wao watajijua,naomba mnisaidie yafuatayo
wasalaam nawasilisha wana jukwaa.

- ninawenza anza ujenzi haraka bila building permit?
- je wanaweza kwenda kunizuia kwenye baraza la ardhi?maana nahofia hela zangu nilizokopa zataisha bila kufanya ujenzi
- je kama akitokea mtu mwingine na hati kama mimi itakuwaje?
- je mimi naweza kuwahi mahakani kuwa zuia?
wasalaam nawasilisha wana jukwaa.