Nimevulia Weee Wapi..hatimae nimetia maguu, Hodi wapedwa naomba Kuungana nanyi

AgentFuller

New Member
Joined
May 26, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Hodi waungwana wote wa hapa JF
Leo nimetia maguu rasmi, kama wanajamii wengine waliotangulia, nami nikileta yale niwezayo kuyaona na kuyachangia kwa upeo wangu na uelewa wangu, pia kwa ushahidi na vyanzo niviaminio mimi kwa nafasi yangu
Nashukuru kwa nyote na admin pia, kuruhu kuwa kwangu humu

Naomba kuwakilisha hoja, naomba kuingia ukumbini na kuwa mwana JF mpyaa



asanteni
 
karibu sana ndugu

LIFE is strange game isn't?.....the only way of winning is not to play
 
karbu mgeni, jiskie upo "kwetu"
 
na sisi tulikusubiri weee but where...karibu bhanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…