FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Actually kila kiungo katika binadamu kipo namna kilivyo pale kilipo kwa sababu maalum, sio hivihivi tu for no reason.
Sasa cha ajabu na cha kushangaza ni pua kutokuwepo utosini ilihali kuko ndio panahewa safi ya kutosha maana ni juu zaidi, kwanini lakini?
๐๐ mkuu utosini mvua ikinyesha maji si yangekuwa yanapita tafikiri kwenye bomba!! Sipati picha kwenye kupenga๐๐ dah Kuna watu mnawaza!!
We Citizen unataka uyakanyage masikio ili usingizie eti ooh sikusikia nilijikwaa nikakanyaga sikio ndo maana sikusikia ukiniita? Hahahaah!!!!Mimi najiulizaga kwanini masikio yasiwe miguuni?
Hivi umeshawaza tabu utakayoipata wakati wa kupenga kamasi?Actually kila kiungo katika binadamu kipo namna kilivyo pale kilipo kwa sababu maalum, sio hivihivi tu for no reason.
Sasa cha ajabu na cha kushangaza ni pua kutokuwepo utosini ilihali kuko ndio panahewa safi ya kutosha maana ni juu zaidi, kwanini lakini?
jo joKuna mtu atakuja hapa kuombea shule zifunguliwe
Nime imagine hii hali nimejikuta nacheka ka mjinga๐๐๐๐๐๐ mkuu utosini mvua ikinyesha maji si yangekuwa yanapita tafikiri kwenye bomba!! Sipati picha kwenye kupenga๐๐ dah Kuna watu mnawaza!!
Watu wangekuwa wanakimbia mvua si kuloana bali kuepusha pua zao kupata mzozo na maji kutoka juu๐๐Nime imagine hii hali nimejikuta nacheka ka mjinga๐๐๐๐
Vichwa vya habari vingekuwa mtu mmoja afa baada ya kujitwika ndoo na kuziba pua yake!! Chanzo chabainika kuwa ni kujisahau ama stress๐๐Halafu ukitaka kubeba mzigo kichwani ingekuwa issue zaidi.