Nimevumilia sana ila leo imebidi niulize, ni kwanini pua haipo utosini?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Actually kila kiungo katika binadamu kipo namna kilivyo pale kilipo kwa sababu maalum, sio hivihivi tu for no reason.

Sasa cha ajabu na cha kushangaza ni pua kutokuwepo utosini ilihali kuko ndio panahewa safi ya kutosha maana ni juu zaidi, kwanini lakini?
 
Huko ni kukufuru mkuu! alie tuumba ndo alituumba hivyo, vipi unaweza kumuuliza?
Actually kila kiungo katika binadamu kipo namna kilivyo pale kilipo kwa sababu maalum, sio hivihivi tu for no reason.
Sasa cha ajabu na cha kushangaza ni pua kutokuwepo utosini ilihali kuko ndio panahewa safi ya kutosha maana ni juu zaidi, kwanini lakini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂 mkuu utosini mvua ikinyesha maji si yangekuwa yanapita tafikiri kwenye bomba!! Sipati picha kwenye kupenga😂😂 dah Kuna watu mnawaza!!
 
Actually kila kiungo katika binadamu kipo namna kilivyo pale kilipo kwa sababu maalum, sio hivihivi tu for no reason.
Sasa cha ajabu na cha kushangaza ni pua kutokuwepo utosini ilihali kuko ndio panahewa safi ya kutosha maana ni juu zaidi, kwanini lakini?
Hivi umeshawaza tabu utakayoipata wakati wa kupenga kamasi?

Maendeleo hayana chama
 
😂😂 mkuu utosini mvua ikinyesha maji si yangekuwa yanapita tafikiri kwenye bomba!! Sipati picha kwenye kupenga😂😂 dah Kuna watu mnawaza!!
Nime imagine hii hali nimejikuta nacheka ka mjinga😀😆😀😆
 
hahahhahaahahahaahhhahhhh, ingekuwepo kwenye kitovu, tungeuliza kwanini isingekuwepo juu ya mdomo,
kwa sababu zozote zile, ikiwemo hiyo uliyotoa.
 
Sasa mtoa mada we unataka wote tuwe na pua utosini kama wewe
 
Back
Top Bottom