Nimevunja ukimya lakini hola!

Yaani mimi sijui nikoje! mwanamke ukinfuata fuata hivyo ndo mawazo yanapotea kabisa. Mwanamke anayenikataa mimi ndo nampenda
 
Naam! Au kama hatumi vocha basi walau akulipie kodi ya pango, akununulie handbags, shoes, perfumes au basi walau ki-vekesheni bagamoyo kwa faida yake binafsi.
Una maana gani!
Kwamba msichana hana maslahi yoyote katika vekesheni ya B'Moyo?
Au wakiamua kufanya penzi huko maporini, mwanaume anakuwa kwenye position ya command, hivyo anafaidi zaidi?
Msaada!
 
nimeipenda sana hii movie,...brother katuwakilisha vema wanaume,..maake nyie mkipendwa inakuwa taabu sana,...ndio maana visa vingi vya kujidhuru kwa ajili ya mapenzi ni vya wanaume,..goood brother...go go go goooooooooo
 
Yaani mimi sijui nikoje! mwanamke ukinfuata fuata hivyo ndo mawazo yanapotea kabisa. Mwanamke anayenikataa mimi ndo nampenda
Tuko kwenye usafiri mmoja mkuu......
 
tafuta tu mwingine mumie...huyo hana hisia kwako nahisi anaye anayempenda..jipange upyaaaa.
 
Al Kheri NN. Jana mbona ulipotea ile diskasheni jukwaa la lugha?

Si unajua tena majukumu mtu wangu. Nikishinda JF wana watakula nini?

Ila hongera...maana ulienda sambamba na jamaa. Ila nadhani ningeshiriki mjadala ungenoga zaidi.
 
Naam! Au kama hatumi vocha basi walau akulipie kodi ya pango, akununulie handbags, shoes, perfumes au basi walau ki-vekesheni bagamoyo kwa faida yake binafsi.
No wonder hua hawatulii.Mapenzi yamewajaa mifukoni mpaka yanalemea inabidi watafute sehemu nyingine za kupunguzia.
 
Si unajua tena majukumu mtu wangu. Nikishinda JF wana watakula nini?

Ila hongera...maana ulienda sambamba na jamaa. Ila nadhani ningeshiriki mjadala ungenoga zaidi.
Mi sipendi kubishana kwa kizungu bwana. point za uhakika ninazo ila nashindwa kujieleza! alafu niliona tunarudi nyuma tu maana tuliishia kuulizana tena definitions wakati tulikua tumesha toa.
 
Marytina mi siwezi kukuogopa bana, nitumie vocha nijue kweli umenimiss.

I know u Lizzy!!!
unaweza sana kunisaidia in case ukiamua as I rank you higher!!!!!
Najua umeudhika
 
Mi sipendi kubishana kwa kizungu bwana. point za uhakika ninazo ila nashindwa kujieleza! alafu niliona tunarudi nyuma tu maana tuliishia kuulizana tena definitions wakati tulikua tumesha toa.

Hiyo ndo inaitwa 'going around in circles' lol. Ila ukiwa unabishana na jamaa hilo ulitegemee. But you did well. You held your own.
 
Yaani mimi sijui nikoje! mwanamke ukinfuata fuata hivyo ndo mawazo yanapotea kabisa. Mwanamke anayenikataa mimi ndo nampenda

Wanaume wengi tuko hivyo... anachotakiwa kufanya huyu bibie , asionyeshe kumtaka sana jamaa, awasiliane nae kawaida tu lakini bila kuonyesha hisia za kimapenzi, jamaa ata realise tu kuwa anatakiwa afanye nini!! Ni shock tu jamaa amechanganyikiwa!!
 
mwaya fanya ustaarab mwingine huyo ana m2 wake afu yy hajakupenda kbs anakuchukuliwa kama rafik. usipoteza muda wako mamai.
amin haukupangiwa kuwa nae. breath in, breath out. take t easy , aluta continua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…