Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana gani!Naam! Au kama hatumi vocha basi walau akulipie kodi ya pango, akununulie handbags, shoes, perfumes au basi walau ki-vekesheni bagamoyo kwa faida yake binafsi.
Tuko kwenye usafiri mmoja mkuu......Yaani mimi sijui nikoje! mwanamke ukinfuata fuata hivyo ndo mawazo yanapotea kabisa. Mwanamke anayenikataa mimi ndo nampenda
Al Kheri NN. Jana mbona ulipotea ile diskasheni jukwaa la lugha?Mwali, msalkheri.
No its just a token or rather a memento!
Al Kheri NN. Jana mbona ulipotea ile diskasheni jukwaa la lugha?
All if not highest number of tokens go for Love, right?A token of love ehh?Kaaazi kweli kweli.
hivi sio reminder?Do you know what a memento is?
No wonder hua hawatulii.Mapenzi yamewajaa mifukoni mpaka yanalemea inabidi watafute sehemu nyingine za kupunguzia.Naam! Au kama hatumi vocha basi walau akulipie kodi ya pango, akununulie handbags, shoes, perfumes au basi walau ki-vekesheni bagamoyo kwa faida yake binafsi.
Mi sipendi kubishana kwa kizungu bwana. point za uhakika ninazo ila nashindwa kujieleza! alafu niliona tunarudi nyuma tu maana tuliishia kuulizana tena definitions wakati tulikua tumesha toa.Si unajua tena majukumu mtu wangu. Nikishinda JF wana watakula nini?
Ila hongera...maana ulienda sambamba na jamaa. Ila nadhani ningeshiriki mjadala ungenoga zaidi.
Marytina mi siwezi kukuogopa bana, nitumie vocha nijue kweli umenimiss.Nimekumiss sna Dear!!!
usiniogope
Marytina mi siwezi kukuogopa bana, nitumie vocha nijue kweli umenimiss.
Mi sipendi kubishana kwa kizungu bwana. point za uhakika ninazo ila nashindwa kujieleza! alafu niliona tunarudi nyuma tu maana tuliishia kuulizana tena definitions wakati tulikua tumesha toa.
Marytina mi siwezi kukuogopa bana, nitumie vocha nijue kweli umenimiss.
Yaani mimi sijui nikoje! mwanamke ukinfuata fuata hivyo ndo mawazo yanapotea kabisa. Mwanamke anayenikataa mimi ndo nampenda
Wala dearest...I know u Lizzy!!!
unaweza sana kunisaidia in case ukiamua as I rank you higher!!!!!
Najua umeudhika