Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
Pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa sawa naona kakimudu hichoPole sana kiongozi..kama una mke ndo kile kipengele cha wanandoa kisemacho "tutavumiliana wakati wa shida na raha" akidumishe/akitimize
sawa mkuuMh!!pole sana ndugu,ila cha muhimu hakikisha hiyo asali unatumia kutwa x 3,mins unatakiwa uweke vijiko vi 2,kwenye glass maji ya vugu vugu ndo unywe,mins utatumia vijiko 6 kwa siku,
DAH! POLE SAAANA MKUUNaomba msaada ni vitu gani nitumie ili mfupa uunge haraka pia niliwekwa chuma baada ya kutoa wk iliyopita ile sehemu niliyotoa chuma imekakamaa sana na kuota vipele vilivyovilia maji nini tatizo View attachment 400069View attachment 400071
nimevunjika yaani umekatikasema umeteguka, kuvunjika is something else mkuu
Pole lakin
yuko wapiKuna mtaalam anaitwa Kayunga Magufa (Muunga mifupa), hajawahi kukosea unapona fasta.