Thats my girl.........unakaribishwa kwenye himaya ya babu....wasiliana na mjukuu mtiifu kwa formalities......... Huwa naanzaga na ukaguzi.Ahsante babu yangu mpendwa
Hahahahaha nashukuru si mind hizo biology hata huyu hatukula tundi, maybe ndio maana amesepa au waonaje? but makubaliano yalikuwa mpaka ndoa, nashukuru sana asprin kwa kweli umenipa ushauri mzuri nitahakikisha nakuwa mwenye furaha masaa yote
kweli kabisa, sasa kwani huyu mtu mwanzo hakuona wakati anamtongoza? wanaume msipende kuwaumiza wadada wa watu, au angetafuta njia mbadala kuliko kumdhalilisha kwa neno la kukonekti
Yawezekana ikawa sababu, lakini si afadhali amesepa kabla hajaonja...... angeonja afu asepe? LOL
Be happy Dinnah darling...be happy!.......Huwezi jua kuondoka kwake ni mpango wa Mungu wa kukuandalia furaha kuu zaidi.
Sema Ahsante babu, kabla sijabadili mawazo.
Ni ngumu sana kumjaji mtu siku za mwanzo.
Wanawake wagumu sana kusoma mchezo na kusoma alama za nyakati
Kiongozi number tatu hapo upo?There are currently 8 users browsing this thread. (4 members and 4 guests)
Kwanza pole sana Dinnah,shit happens.Pili,usikimbilie kumlaumu tu jamaa yako kwamba hayuko fair.Wanawake wengi wanadhani connection ni kwenye kukiss na sex na ku take care of each others,wrong!JICHUNGUZE WHY KAKUAMBIA HAMNA CONNECTION,HAWEZ AKAWA AMEROPOKA TU!PUNGUZA HASIRA NA UJICHUNGUZE MAKOSA YAKO,HII ITASAIDIA KUTORUDIA KOSA KWA MWANAUME MWINGINE.UKUTE WEWE UNAPENDA KUSALI SANA WHILE YEYE NI WA KU PARTY TU(MFANO).MKIWA IN LOVE,CHUNGUZANENI JAMANI.E.G KAMA MWANAMKE HUPENDI KUANGALIA FOOTBALL,JIKAZE TU UANGALIE NA MPENZIO ANAYEPENDA.SISI WANAUME TUNAVUTIWA NA MWANAMKE ANAYE SUPPORT MAMBO YETU.
Umeona ee, sisi nasi sometimes vichwa maji ila ndio hivyo tena maisha lazima yasonge mbele
Alafu kwa nini huwa hamtumii ile style ya 50/50? unakuta mtu anakufa moja kwa moja kwa njemba linapo kuja kumtenda maumivu yake ni balaa lakini angejiweka kwa 50/50 asingeweza kuumia.
Unajua sijui kwa nini, wanawake mara nyingi unakua na mpenzi mmoja huyo huyo ila nyinyi wenzetu mnakua mmewapanga foleni so ndio maana mtu ukitendwa unaumia kwa sababu ndio alikua huyo huyo. Ila si mbaya sana kwani kila siku zinavyozidi kusonga ndivyo mtu unavyoendelea kujifunza unakosea wapi na ujirekebisheje.
Nipo kiongozi! Sikuoni kambarage weye siku hizi...ha!ha!ha!aaa!Kiongozi number tatu hapo upo?
na ikijilock yote unafanyaje? au hata dirishani unatokea?When One Door Closes; Another One Opens....
Indeed....na ikijilock yote unafanyaje? au hata dirishani unatokea?
dah! Pole sana dinnah, hizo ni changamoto zinazotufanya tuwe imara. Maisha ni lazima yasonge mbele hata kama kila tunapoinuka tunadondoka tena mwisho wa siku tutakuwa imara.Mungu akupe nguvu ila jitahidi usifikirie au usijiweke katika mazingira yatakayokuletea huzuni.Hata kama tukwambie maneno milioni ya kukufariji, mwisho wa siku wewe ndio mwamuzi kama unataka furaha au huzuni ndio itawale maisha yako.nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
Ahsante dear husninyo ubarikiwedah! Pole sana dinnah, hizo ni changamoto zinazotufanya tuwe imara. Maisha ni lazima yasonge mbele hata kama kila tunapoinuka tunadondoka tena mwisho wa siku tutakuwa imara.Mungu akupe nguvu ila jitahidi usifikirie au usijiweke katika mazingira yatakayokuletea huzuni.Hata kama tukwambie maneno milioni ya kukufariji, mwisho wa siku wewe ndio mwamuzi kama unataka furaha au huzuni ndio itawale maisha yako.