Nimevunjika Moyo

Nimevunjika Moyo

kuna wakati inajilock kwa ndani mpaka mtu wa nje akufungulie
Very True..., lakini huenda kuna mtu yupo ready, lakini sababu haumpi chance, inakuwa vigumu kwake....,

Back kwenye mfano wetu wa mlango.., yaani jamaa ameshafungua mlango ila wewe hata huangalii upo busy unagombana na mlango uliofungwa mwisho wa siku na huo mlango unajifunga pia...
 
kwa muujiza au? maana nyumba zingine zina mlango mmoja
I know easier said than done..., lakini kukaa kwako kwenye nyumba yenye mlango mmoja (kuamini kwamba huyo alikuwa the one na kutompa chance mtu mwingine ambaye huenda anakupenda utakuwa hujitendei haki....,

Time Heals and "Love is the Best Medicine and there is more than enough to go around once you open your Heart."
 
hahahaha! Miss u 2 wiselady. Unapotea sana bwana. Kapaseli kapo wapi hv, sikaoni na mjomba ake kloro.
tunashuhulikia harusi yenu hivi nimemuacha kloro huko, kapasel nimekaona kny madini cjui machimbo marefu!uko poa lkn?
 
mpaka hapa nadhani Dinnah umejengeka kwa namna flani kutokana na yote uliyoelezwa hapa,Mungu aendelee kuwa nawe na akupe mtu mwema usahau yote.
 
tunashuhulikia harusi yenu hivi nimemuacha kloro huko, kapasel nimekaona kny madini cjui machimbo marefu!uko poa lkn?
mi mzima ila Ushindwe na ulegee, kapasel bado katoto bwana we unataka kunipa makosa ya jinai. Lol!
 
mpaka hapa nadhani Dinnah umejengeka kwa namna flani kutokana na yote uliyoelezwa hapa,Mungu aendelee kuwa nawe na akupe mtu mwema usahau yote.
Nimejengeka sana Wit, im stronger than ever... naendelea na ujenzi wa taifa.... Amen
 
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni

In walk of love tunakutana na mengi katika kumpata tumfaaye...nilishwahi kuambiwa naquote '' OUR RELATION HAS NO FUTURE....'' huyo huyo leo hii hana mbele wala nyuma, nilikutana nae last time...kaniambia ''I REGRET KUKUACHA'' sasa akili mkichwa mama...
 
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
Let it go....when people walk away from u let them walk...ur destiny is never tied to anybody that left...they came out from u cuz they were not 4 u...people leave u cuz they are not joined to u...and if they are not joined to u, u cant make them stay...so let them go!...and it doesnt mean that they are bad person, it just means their part in the story is over..,.dont hold on past that hurts and bring pain into ur heart...release them by being cheerful and blving that soon u'l meet the meander of ur broken heart and u'l be happy again! Stay blcd and live happly by leting him go.....!
 
Back
Top Bottom