Nimevunjika Moyo

Nimevunjika Moyo

Inaonekana wewe ni wale mademu wapiga mizinga sana,kaona sio type yake na may be hata mkikaa story zako ni udaku udaku umbea umbea na magazeti unayopenda kusoma ni ya udaku pia hata redio unayosikiliza ni clouds kipindi leo tena segment ni ile CHACHANDU na hii inaonekana dhahiri badala ya kwenda madhabahuni kusali kumuomba Mungu wako akuondolee pepo la ujinga na kutotumia akili wewe unakuja kutafuta kuonewa huruma kwa watu usiowaona wala kuwajua jf

Mkuu kwenye red hapo umechemsha big time,watu humu ndani tupo ambao tunajuana kwa majina,sura,mpaka mitaa tunayoishi na tumekutana humu JF.
Ushauri wa bure: Jitahidi kujali matatizo ya wenzio kama wao watakavyojali ya kwako,muda si muda utajenga urafiki wa karibu na watu wa MMU na si ajabu siku moja wakaja kukutoa kwenye lindi la matatizo ambalo hata nduguzo hawana uwezo nalo.Usidharau MMU/JF kamwe,tulia muda si muda utaona faida yake,kuchimba mkwara hakutakusaidia kamwe,na si katika MMU tu lakini hata katika maisha yako nje ya JF.
 
Pole sana Dinnah nilishawahi kufeel maumivu kama yako na kuamini ndio mwisho wa maisha yangu
Lakini kumbe lipo tumaini..usikate tamaa yupo aliendaliwa kwa ajili yako..mwenzio leo hata sikumbuki tena
Thanks god tulipewa kusahau ..na wewe taratibu utaanza kuasahau na kuanza maisha yako upya .
Mungu akupe amani na uvumilivu.
 
Pole sana Dinnah
Jifunze kukabiliana na hali ziumizazo
Yote maisha, jipe moyo mkuu
Songa mbele
 
Inaonekana wewe ni wale mademu wapiga mizinga sana,kaona sio type yake na may be hata mkikaa story zako ni udaku udaku umbea umbea na magazeti unayopenda kusoma ni ya udaku pia hata redio unayosikiliza ni clouds kipindi leo tena segment ni ile CHACHANDU na hii inaonekana dhahiri badala ya kwenda madhabahuni kusali kumuomba Mungu wako akuondolee pepo la ujinga na kutotumia akili wewe unakuja kutafuta kuonewa huruma kwa watu usiowaona wala kuwajua jf
Oooops!! Hata pole humpi??
 
Pole sana dearest
hilo ni moja ya mapito katika ulimwengu.......... cha muhimu mkabidhi Mungu maisha yako nae atakupa lililo jema........... usikubali kuwa na mtu mwengine kwa sasa maana wapo watakaokuja kwa kukuonea huruma kumbe nao ni nyoka............ tafakari/pangilia maisha usiwe na haraka haraka haina baraka,
 
Hizi pole kama hamjui ndo zina muumiza zaidi,
mwambieni ajifungie ndani alieeeeeeee
akitoka huko yuko fresh
 
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni

Tutaaminije kwamba ulikua una mpenda?
Jiue kwanza afu tatakupa pole na
ndo tutajua ulikua una mpenda kweli,otherwise ni the same usanii tu
 
Pole sana Dinnah kwa mkasa uliokupata, tuliza akili yote yatapita na maisha yataendelea kama kawaida!
 
[/COLOR] Mkuu kwenye red hapo umechemsha big time,watu humu ndani tupo ambao tunajuana kwa majina,sura,mpaka mitaa tunayoishi na tumekutana humu JF.
Ushauri wa bure: Jitahidi kujali matatizo ya wenzio kama wao watakavyojali ya kwako,muda si muda utajenga urafiki wa karibu na watu wa MMU na si ajabu siku moja wakaja kukutoa kwenye lindi la matatizo ambalo hata nduguzo hawana uwezo nalo.Usidharau MMU/JF kamwe,tulia muda si muda utaona faida yake,kuchimba mkwara hakutakusaidia kamwe,na si katika MMU tu lakini hata katika maisha yako nje ya JF.
Ahsante Bishanga kwa comment zako atuulize ARUSHA sisi tumeanzisha umoja wa JF members Arusha, tuna malengo makubwa ya kusaidiana!!!!!!!!! Naona bado ni kinda akikua atajua maana ya JF!!!!!!!!!! Huyo binti kaomba ushauri, wala si fedha zake ushauri wa bureee, kama hawezi anyamaze!!!!!!!!!!
 
Pole sana Dinnah, ni sehemu ya maisha....kubali na shukuru Mungu kakuambia vizuri tu badala ya kukunyanyasa na kuzidi kukupotezea muda....wanaume wapo bado,ondoa kwenye akili kwamba yeye ndo alikuwa kwa ajili yako....yupo aliye kwa ajili yako,na siku ikifika utakutana nae na mambo yatakwenda vizuri. Jipe moyo,jipende,jitunze zaidi.....Mungu anakupenda na maisha ni lazima yaendelee tu....Blessings!!
 
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
Pole Dinnah kwa masahibu kajisemea NN miafrika ndivyo ilivyo, eti hakuna connection kwani alivokwambia muanze uhusiano hakujua hilo? Keshakula tundi ndio anajifanya hakuna connection kwani umekuwa umeme wewe, jipe moyo jipange uanze upya wala hujachelewa Mungu yupo atakutafutia wako mwingine wa milele, mtu haolewi na mume wa mtu huyo alipangiwa mwingine wako yuko njiani
 
Kumbe ndo maana unajidai kumtetea?
una taka uchakachue pia?
duh,watu kwa ku-take advantage hamjambo,basi unajidai una hurumaaaaaaaa
Sasa wewe akiwa na huruma inahusu nini, au ndio wewe uliyekosa connection
 
Jamani pole sana

I can feel your pain...love hurt more than u can imagine

Kama alivyosema Michelle, jipe moyo na mwombe Mungu, every waking day inakuwa better, Mungu akulinde
 
Mamii pole sana..Remember, we should be able to face every moment of life with renewed expectation like a freshly blossomed flower..!!!
 
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
Hata kama wewe ni Muislam, nakushauri msikilize huyu jamaa, japo tega tu sikio usikilize, utapata faraja. Click the following link [video]http://www.joelosteen.com/Broadcast/VideoStreaming/Pages/VideoStreaming.aspx[/video]
 
Back
Top Bottom