Nimevunjika Moyo

Nimevunjika Moyo

[/COLOR] Mkuu kwenye red hapo umechemsha big time,watu humu ndani tupo ambao tunajuana kwa majina,sura,mpaka mitaa tunayoishi na tumekutana humu JF.
Ushauri wa bure: Jitahidi kujali matatizo ya wenzio kama wao watakavyojali ya kwako,muda si muda utajenga urafiki wa karibu na watu wa MMU na si ajabu siku moja wakaja kukutoa kwenye lindi la matatizo ambalo hata nduguzo hawana uwezo nalo.Usidharau MMU/JF kamwe,tulia muda si muda utaona faida yake,kuchimba mkwara hakutakusaidia kamwe,na si katika MMU tu lakini hata katika maisha yako nje ya JF.
wewe kiazi mkubwa unafikiri umekuja kutafuta marafiki hapa?
 
If people walk away from u, let them go coz they are not part of ur life. Who is he? Irreplaceable.....huh???!! Calm down lady the right person is yet to come. Pole mwayaaa.
kweli kabisa mkuu bora nusu shari
 
Kaa kwanza utulie na kutafakari kama kuna mahali ulikosea,jaribu kuangalia pia uliwahi mkasirisha mara ngapi na sababu,baada ya hapo jaribu kurekebisha kasoro hizo kabla hujaanza uhusiano mwingine.
Ni kweli nahitaji muda wa kutafakari maisha yangu upya
 
pole sana Dinna dear, hilo ni jaribu yakupasa ulishinde, jipe moyo Mungu anakuwazia yaliyomema, furahi kwa kuwa yatokea mapema maana yangetokea wakati uhusiano wenu umefika mbali hali ungekuwa mbaya zaidi. Muombe mungu akupe furaha na amani ya moyo
Majaribu mengine haya ni kama binadamu mwenzetu anayalazimisha vile
 
Mpendwa ni vizuri kupata ushauri kwa wa2, bt inaonekana Mungu anampago mwema nawe. Tumeambiwa tushukuru kwa kila jambo. Mshukuru Mungu kwa hilo kisha mwombe akupe aliyekuchagulia. hutopata tena maumivu:mod:
Huwezi amini huu ushauri wenu umenipa amani ndani ya moyo, ahsanteni
 
sijambo, niambie mpenzi

Maisha ni mafupi sana, unahitaji kuyafurahia kadiri uwezavyo
Maisha lazima yasonge mbele, ukisita utakufa ukiwa unajuta,
Wanadamu wenye upendo wako wengi,
Wanadamu wenye kujali wapo wengi...
Mungu ametuumba na kutupa usahaulifu.

Sahau yaliyopita, songa mbele............
Maisha lazima yasonge mbele

Songa mbele, songa mbele...............songa mbele!
Baioloji haziishi!
 
Maisha ni mafupi sana, unahitaji kuyafurahia kadiri uwezavyo
Maisha lazima yasonge mbele, ukisita utakufa ukiwa unajuta,
Wanadamu wenye upendo wako wengi,
Wanadamu wenye kujali wapo wengi...
Mungu ametuumba na kutupa usahaulifu.

Sahau yaliyopita, songa mbele............
Maisha lazima yasonge mbele

Songa mbele, songa mbele...............songa mbele!
Baioloji haziishi!
Hahahahaha nashukuru si mind hizo biology hata huyu hatukula tundi, maybe ndio maana amesepa au waonaje? but makubaliano yalikuwa mpaka ndoa, nashukuru sana asprin kwa kweli umenipa ushauri mzuri nitahakikisha nakuwa mwenye furaha masaa yote
 
Back
Top Bottom