Felice1 Senior Member Joined Nov 11, 2016 Posts 106 Reaction score 142 Mar 17, 2017 #1 Najua hapa JF ndo kila kitu na kuuliza sio ujinga. Naomba kujuzwa kazi au jukumu la TLS, asante
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 10,963 Reaction score 13,287 Mar 17, 2017 #2 Kiukweli wengi wetu TLS tumeijua baada ya Lissu kugombea, bila shaka wengi watatusaidia
joshydama JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 4,623 Reaction score 5,039 Mar 17, 2017 #3 TLS inasaidia serikali pamoja na mahakama katika masuala yanayo husiana na sheria. Ingawa lengo kubwa la TLS ni kushughulikia legal profession in Tanzania.
TLS inasaidia serikali pamoja na mahakama katika masuala yanayo husiana na sheria. Ingawa lengo kubwa la TLS ni kushughulikia legal profession in Tanzania.