Nimevutiwa kujua kazi ya TLS kitaifa

Nimevutiwa kujua kazi ya TLS kitaifa

Felice1

Senior Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
106
Reaction score
142
Najua hapa JF ndo kila kitu na kuuliza sio ujinga. Naomba kujuzwa kazi au jukumu la TLS, asante
 
Kiukweli wengi wetu TLS tumeijua baada ya Lissu kugombea, bila shaka wengi watatusaidia
 
TLS inasaidia serikali pamoja na mahakama katika masuala yanayo husiana na sheria.

Ingawa lengo kubwa la TLS ni kushughulikia legal profession in Tanzania.
 
Back
Top Bottom