The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
πmwmbie asntAnakusalimia Mwachiluwi
Thank you daddy πWelcome baby
Nasubir talaka mahakama πHaujabahatika kuachika huko kwenye kandoa kako ili nikuoe dada
ameleta ka jokes kidogoBora hata usingerudi,
Huna faida yeyote ile humu zaidi ya ujinga ujinga tu.
Ndoa dearπ₯²Ulikua wap kipindi chote icho baby
Heee!!πKaribu sana jameni humu kumebadilika sana imagine Mgerasi Maghayo I'd yake imebadilika Jina inaitwa
Busu la Kenge Daaa kweli ukubwa jalala!
ππ
Thank you love β€οΈKaribu sana
Miaka miwili yote inamaana mzee baba hapendi uingie mitandaoni?.... Haya, karibu bπ€°π€±
Ulidhani hawaachani, karibu tuondoe stress.Nimewa miss humu ndani!! πβ€οΈ
Nimekuwa nje ya jf 2 yrsπ₯²
Uzi tayari!!π
Mbombo ngafu2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
Ila wajumbe πBaada ya majina ya Ccm kutangazwa nimeona ujio wa I'd za zamani kurudi kwa kasi
Nakupenda sana babeπUtapeli mtupu
Mjumbe πWho are you??
Kwa kwelComment tayari.
Nikiolewa tena ntaondoka πNa baada ya wiki utaondoka tena
πsio mm labda Ex wangu moderator jomoni alikuwa anaitumia2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
Shogaa ang we naye mbea mbea khaah!! ππ2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
Usisikitike dear i miss u πInasikitisha sana