Nimewaangusha Panya Road zaidi zaidi ya 15 huku Majohe

Midazolam

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
807
Reaction score
1,340
Wakuu habari zenu.

Ulinzi wa taifa hili ni la wananchi wote na napenda kuishi kwa amani ndani ya nchi yangu.

Mimi ni kijana mpole na mbambe ninapochokozwa na huwa sipendi uonevu kutokana na sehemu nilipokulia,Mimi kwetu ni rorya Kanda maalum na siku zote nilishakataa kuwa siwezi kusumbuliwa na hawa watoto wanaojiita panya road ,kama ubabe nilifanya sana kipindi nachunga kule kwetu na nilipiga sana watu rungu na najua sana kucheza na silaa kwenye ishu kama hizi ndogo ndogo.

Ilikuwa hivi ,nilienda kuangalia eneo langu maeneo ya majohe huku Bomba mbili, nikawa natembea hivi mita kama 100 hivi nikaona kundi la vijana wadogo tu wanakuja nikasema hawa watakuwa panya road , kwenye begi langu nilikuwa na panga tena Haina hata wiki tena nimeinunua pale buguruni.nikaivaa Ile begi kwa mbele nikajisemea hapa kama ni wao atakae jipendeza itakula kwake, kabla mita kama 50 hivi mbele nikapita kushoto Ili kujiandaa vizuri ,wakaniona na kuanza kuniambia toa ulichonacho, wakaja kumi na tano nikawahesabu fasta.

Wakaja kama wanataka kunivamia ,sikuwachelewesha wale watoto na sikuona huruma,roho ya unyama ukanijaa fasta, niliwatembezea kichapo ,wale watoto nimewakata panga bila huruma, nilivyokuwa nawapiga mapanga wakawa wanakuja wengi na walivyokuwa wafupi ndo nilikuwa nawakata bila huruma,

Maeneo ya miili Yao kama mikono,vichwa na mabega nimewakata sana.nikasikia wanasema jamani huyu mkuria tukimbie[emoji3][emoji3] wakaondoka kwa kuvutana nikatamani kuwafuata nikawamalize Moja kwa Moja, na Mimi nikatembea,

Na naamini kabisa wale watoto hawafiki makao watadondoka tu njiani maana nimewapapasa sehemu muhimu.
 
😂😂😂ngoja nifate kashata
 
20211219_202239.jpg
 
hii chai imewekwa chumvi yaani kundi la watu kumi na tano na wewe ukiwa peke yako na panga tu hao walikuwa mikono mitupu au na fimbo? kama na wao walikuwa na mapanga au visu tena uzungukwe kati na bado tena wakukimbie hivi unaijua vita ya mapanga kweli ww ukipiga wa mbele au ukigeuka basi wa nyuma yako au pembeni lazima akupige ww kwahiyo sasahivi upo hospitali gani mkuu
 
Kuna uwezekano umekutana nao kweli. Ila hii hadithi yako ni simulizi ya fikra zako na matamanio yako ya ungewafanyaje endapo ungemudu.

Hii ingekuwa na uwezekano kama tu wanapigana kama kwenye movie, pale maadui wanapomzunguka Starring lakini wanaenda kumpiga mmoja mmoja, wanasubiri mwenzao aanguke ndio mwingine aingie.

Pole kwa kuibiwa na watoto wa miaka 8 mkuu.
 
Back
Top Bottom