Nimewaangusha Panya Road zaidi zaidi ya 15 huku Majohe

Hii chai ya moto ,
 
Mkurya tuwekee kapicha na sisi wa Mwantonondo Kiwira tuonepo wee
 
Mimi siyo mwanaume wa dar,dar nafanya tu shughuli zangu za maisha.vita ni akili,wale siyo kwamba nilikuwa nawakata panga huku nimesimama,Kuna namba ya kupambana na kundi la watu,

Ukweli walikuwa na panga,mondo na marungu,na wale panya road hawajui kupambana na ndo maana niliwakata sana, kwanza ni watoto pili ni wafupi kwa hiyo kunifikia ilikuwa ni ngumu sana ,tayari Mimi nimeshawaumiza zaidi,na Wala sikupata hata jeraha tofauti tu na damu zao kwenye nguo zangu, naamini kabisa watapaogopa huku majohe,wakajaribu sehemu nyingine.

Mimi ni field martial siyo tu kuchezea panga
 
Sawa
 
haahaaa kweli kabisa mkuu ni kama zile filamu za kichina mtu anakatwa panga anaruka huko hata damu yenyewe haionekani hapo sasa ndo huyu mtoa mada labda alikuwa anawaza tu kwa sauti baada kushiba pilau la idd ila kwenye uhalisia wake mmh!
 
naomba uwakate hata wale mabosi wanaowatuma watu wapandishe bei ya mafuta ili vitu vipande bei nchi na wananchi wake waingie kwenye msongo wa huzuni na mawazo katika kuishi kwao hapa duniani😎
 
Uliposema tu "huyu mkuria" nikawaza kuagiza maandazi
 
Baada ya kamanda kusema wanasoma darasa la 5 ndo umeamua ki hivi[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…