Nimewaangusha Panya Road zaidi zaidi ya 15 huku Majohe

Chai ya baridi kabisa hii
 
Mimi nilikutana nao walinitandika balaa nimekoma ..nilipocholopoka nilichomoka spidi balaa ila walinitembezea kichapo sio poa

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
We Jamaa niliwahi ona Picha zako Miaka ya Nyuma! Afadhali umekuja Bongo....

 
ushauri ili uote ndoto nzuri ULE USHIBE KAMA MLETA MADA
 
safi sana, hongera mkuu. Ilibidi uwaue kabisa hawa watoto kwani naamini kuna watu wanawatumia.
 
Tunasubiri taarifa toka Polisi kuhusu vifo vya hao panya wapatao 15.
 
Mwanaume hata ukiwa unatoka Rorya au ligangabilili au hata misungwi

Ukishaishi dar tu unabadilika
 
Nimesahai ibara yake inaruhusu kujilinda kabla ya kulindwa
 
inreality ukute unaogopa hadi mende[emoji23][emoji23]hongera bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…