Nimewachanganya mbu hawaamini macho yao

Leo nimeingia mahala fulani kuna mbu wengi sana, sijaweka na wala situmiagi neti wala kupuliza sumu.

Nimetumia mbinu ya kisaikolojia kupambana nao, huwezi amini mkuu yani wanalia kwa huruma hawaamini macho yao kmmk zao.
Haichekeshi.
 
Bandari zetu zinaendeleaje kwa ufanisi wako uliokuja nao, tuambie kwanza ndio uje na stori za mbu kushindwa kukung'ata, isije ikawa umekutana na mbu wanywa utamu wa maua
 
Bandari zetu zinaendeleaje kwa ufanisi wako uliokuja nao, tuambie kwanza ndio uje na stori za mbu kushindwa kukung'ata, isije ikawa umekutana na mbu wanywa utamu wa maua
Awali ya yote nipende kukujuza kwamba bandari ni zangu sio zenu, nimezinunua mimi.
 
Dah haya twende tukaokote chupa town sasaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…