Nimewachukia Generation Z kwasababu hawatumii akili

GenZ wako sahihi ila mbinu za kufikisha ujumbe na hisia zao za kuharibu Biashara na Kuchoma pamoja na uporaji hapo wanajiingiza kwenye uhalifu.
 
Unamkosea kumwita majina yasiyo faa Ruto amesimamisha kusaini hiyo na yuko tayari kuzungumza nao hakuna binadamu asiyekosea hakuna jambo ambalo huisha kwa vurugu bila ya kukaa katika meza ya majadiliano kuendelea kaharibu miundo hiyo siyo sulhu ya kuondoa tatizo
 
Unachanganya mambo, GEN Z nikitu kilichoanzishwa nazungumzia hio CONCEPT watu wamekaa chini wakaamua waite hayo majina hiko ndio nazungumzia.
Watu wamekaa chini wapi ? Kama watu walivyoita kizazi cha Jakaya walikaa chini na kuamua tuite hao kizazi cha Jakaya ? (Au ni watu waliozaliwa kipindi cha Jakaya) hence kwa mtu ku coin hilo Jina kwenye hicho kizazi inaleta meaning...

 
Katumie akili wewe pumbavu! Baada ya polisi kuanza kuua ndio chanzo!!!
 
Katiba inaruhusu wewe usiejielewa!
Wewe Kila katiba inachoruhusu unakipata ?,acha ufala ,umejiuliza huo uharibifu uliofanywa na hao gen z unarekebishwa kwa gharama gani!
 
Watu wenye akili hizi za kinafiki bahati mbaya ni wengi sana nchini Tanzania.
 
Ni raisi tu, kama hali ni mbaya sana na uwepo wako unatishia nchi kumwaga damu unaachia madaraka.
 
Of all things ambazo umeona ni uharibifu wa miundombinu?
What about the bill ambayo ilikuwa inaenda kuongeza ugumu wa maisha by 30%? Waliaanza kuipinga mapema but wabunge hawakusikia, even ruto hakusika

No offense sipendi uharibifu lakin wabunge na rais wao they asked for this
 
Kuna takwimu haziko sawa huko. Wakenya wanajua zaidi tuwaachie. Wanafuatilia masuala ya nchi yao kwa ukaribu, na wamechikizwa. Hapa kwetu vijana wengi hawajui kuwa hata Bunge limemaliza vikao vyake. Hawajui bajeti iliyopitishwa ni kiasi gani. Hawajui wizara yao ni ipi na nani waziri wao. Kifupi tuwaache wakenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…