Nimewachukia Generation Z kwasababu hawatumii akili

Nimewachukia Generation Z kwasababu hawatumii akili

GenZ wako sahihi ila mbinu za kufikisha ujumbe na hisia zao za kuharibu Biashara na Kuchoma pamoja na uporaji hapo wanajiingiza kwenye uhalifu.
 
Wewe una akili gani?. Unahangaika na mambo ya wengine wakati wewe ni mpumbavu na chawa wa CCM. Hao unao waita hawana akili wametafsiri Finance Bill kwa Lugha 20 za makabila mbalimbali ya Kenya ili watu wajue hiyo bill kwa undani, wewe chawa hata ukiulizwa ukurasa wa tatu wa Finance bill ya Tanzania inasemaje hujui. Punguza unafiki na kimbelembele. Kama unapenda uchawa Baki nao bongo usipeleke kwenye nchi za watu.
Unamkosea kumwita majina yasiyo faa Ruto amesimamisha kusaini hiyo na yuko tayari kuzungumza nao hakuna binadamu asiyekosea hakuna jambo ambalo huisha kwa vurugu bila ya kukaa katika meza ya majadiliano kuendelea kaharibu miundo hiyo siyo sulhu ya kuondoa tatizo
 
Unachanganya mambo, GEN Z nikitu kilichoanzishwa nazungumzia hio CONCEPT watu wamekaa chini wakaamua waite hayo majina hiko ndio nazungumzia.
Watu wamekaa chini wapi ? Kama watu walivyoita kizazi cha Jakaya walikaa chini na kuamua tuite hao kizazi cha Jakaya ? (Au ni watu waliozaliwa kipindi cha Jakaya) hence kwa mtu ku coin hilo Jina kwenye hicho kizazi inaleta meaning...

There is no official group in charge of naming generations, but theorists Neil Howe and William Strauss were among the first to name the different generations in their 1991 book, “Generations.” They are credited with naming the Millennials.

"We thought that an upbeat name would be good because of the changing way they were being raised. They would be the first to graduate high school in the year 2000, so the name millennial instantly came to mind," Howe told NPR in 2014.

Canadian author Douglas Coupland gets the credit for coining, or at least popularizing, the term Gen X — in reference to people born between 1965 and 1980 — in his 1991 book, “Generation X: Tales for an Accelerated Culture.”

Gen Z is thought to have gotten its name for being two generations after Gen X.
 
Gen Z ilianzishwa au ni generation ya watu fulani....,, Kizazi kilichozaliwa katika information age..., kama wewe kizazi ambacho kilizaliwa zama za ubaharia na kuzamia meli au zama za kale au zama za mawe.... au hata millennials...

Kizazi hiki kina perspective zao tofauti na wewe ila ukweli unabakia with information age na ukosefu wa ajira zenye ujira wa kutosha haya mambo hata ukiyazima yatakuja tena kama sio Gen Z basi itakuwa Generation Alpha....
Katumie akili wewe pumbavu! Baada ya polisi kuanza kuua ndio chanzo!!!
 
Katiba inaruhusu wewe usiejielewa!
Wewe Kila katiba inachoruhusu unakipata ?,acha ufala ,umejiuliza huo uharibifu uliofanywa na hao gen z unarekebishwa kwa gharama gani!
 
Unamkosea kumwita majina yasiyo faa Ruto amesimamisha kusaini hiyo na yuko tayari kuzungumza nao hakuna binadamu asiyekosea hakuna jambo ambalo huisha kwa vurugu bila ya kukaa katika meza ya majadiliano kuendelea kaharibu miundo hiyo siyo sulhu ya kuondoa tatizo
Ni raisi tu, kama hali ni mbaya sana na uwepo wako unatishia nchi kumwaga damu unaachia madaraka.
 
Hivi ni kitu gani Mh. Ruto amekosea.

Kwanini wanaharibu miundombinu.

Mh. Ruto alikubali kuwapatia walichotaka kwanini bado wanataka aondoke.

Nimewachukia hawa vijana Mh. Ruto ni kiongozi mzuri sana.

Nimeamua kupost hii video nikiwa na machungu sana.

Of all things ambazo umeona ni uharibifu wa miundombinu?
What about the bill ambayo ilikuwa inaenda kuongeza ugumu wa maisha by 30%? Waliaanza kuipinga mapema but wabunge hawakusikia, even ruto hakusika

No offense sipendi uharibifu lakin wabunge na rais wao they asked for this
 
Hivi ni kitu gani Mh. Ruto amekosea.

Kwanini wanaharibu miundombinu.

Mh. Ruto alikubali kuwapatia walichotaka kwanini bado wanataka aondoke.

Nimewachukia hawa vijana Mh. Ruto ni kiongozi mzuri sana.

Nimeamua kupost hii video nikiwa na machungu sana.

Kuna takwimu haziko sawa huko. Wakenya wanajua zaidi tuwaachie. Wanafuatilia masuala ya nchi yao kwa ukaribu, na wamechikizwa. Hapa kwetu vijana wengi hawajui kuwa hata Bunge limemaliza vikao vyake. Hawajui bajeti iliyopitishwa ni kiasi gani. Hawajui wizara yao ni ipi na nani waziri wao. Kifupi tuwaache wakenya
 
Back
Top Bottom