Nimewaita wajukuu zangu mapacha Sami na Samia

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Katika harakati binafsi za kuunga mkono na kupongeza, juzi nilipata changamoto.

Mtoto wangu wa kiume aliniletea wajukuu zangu mapacha wa kike na kiume. Kwa heshima na kumhusudu doktari Samia Suluhu Hassan, nimewaita Sami na Samia.

Je, nimechemsha au nimepatia. Kumbuka. Mimi si chawa wala sina na sipendi uchawa. Napanga kuwaita Abduli na Wanuuu wengine watakaozaliwa inshallah tukijaliwa.

Nawashauri wazazi wote nchini waite watoto wao majina haya matukufu hapa nchini.
 
Usijielezee sana maana ni wajukuu zako na umewaita kwa utashi wako.. Kama ni kweli lakini
 
Katika harakati binafsi za kuunga mkono na kupongeza, juzi nilipata changamoto.

Mtoto wangu wa kiume aliniletea wajukuu zangu mapacha wa kike na kiume. Kwa heshima na kumhusudu doktari Samia Suluhu Hassan, nimewaita Sami na Samia.

Je, nimechemsha au nimepatia. Kumbuka. Mimi si chawa wala sina na sipendi uchawa. Napanga kuwaita Abduli na Wanuuu wengine watakaozaliwa inshallah tukijaliwa.

Nawashauri wazazi wote nchini waite watoto wao majina haya matukufu hapa nchini.
Wewe na mlevi anayejinadi hanywi pombe mko sawa
 
Nini Samia. Hata Saelfu Salaki Samilioni sawa tu.
 
Back
Top Bottom