Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Wewe na mlevi anayejinadi hanywi pombe mko sawaKatika harakati binafsi za kuunga mkono na kupongeza, juzi nilipata changamoto.
Mtoto wangu wa kiume aliniletea wajukuu zangu mapacha wa kike na kiume. Kwa heshima na kumhusudu doktari Samia Suluhu Hassan, nimewaita Sami na Samia.
Je, nimechemsha au nimepatia. Kumbuka. Mimi si chawa wala sina na sipendi uchawa. Napanga kuwaita Abduli na Wanuuu wengine watakaozaliwa inshallah tukijaliwa.
Nawashauri wazazi wote nchini waite watoto wao majina haya matukufu hapa nchini.