Nimewakumbuka wapenzi wangu wa zamani

Nimewakumbuka wapenzi wangu wa zamani

1. Rose
2. Noela
3. Yustina
4. Devotha (1)
5 Devotha (2)
6. Deborah
7. Charity
8. Martha
9. Diana
10. Esther
11. Isabella
12. Winfrida
 
bado mnacheza kwenye kumi atakae fikisha ishir na sita ataniambia nianze kukumba wengine niliowasahau..
 
Anna wangu, nimekumiss ile ngumu

Najua umeolewa ila naamini bado hujanisahau

Nakumbuka viuno vyako

Dah!!

Nakumbuka ulivyokua unapatia kulitamka jina langu

Nakumbuka macho yako Anna

Swadata, macho mazuri, meupe na mda wote yamerembua
Sijui niseme nini ili nimakize sifa zako Anna

Dah!! Kila lakheri,

Huyo boya aliyekuoa Amepata mke mwema.
 
Sijui nianze na yupi hahaha ila baba mchungaji ndio mwisho wa matatizo,.woii maana nikiwataja hapa naweza kujaza air force one jomonii[emoji41]
Woozer woozeeer[emoji23][emoji23]baba mchungaji ndo mwanzo mwisho

Ila umejua kuwajaza aisee umetumia ujana vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...me ata ist haijai[emoji85]
 
Nianzie wapi, niishie wapi?

Nianze na Ana-Lisa au Zamda?

Sijui, kwa kweli.

Ila Pepetua wewe, sitokusahau milele.

Honorable mentions: Tecla na Makusaro.
Amber.......Zawi.,Zelda .Zaqquishaa
Umenikumbusha Pharrel Williams- kwenye 'That girl' ..Lauren kumsomea majina A to Z
 
Bora wewe unawakumbuka majina wote Mimi sifahamu niwangapi Mana nime hesabu kwa vidole had vimeisha,hi no kutokana kipindi Niko kidato Cha kwanza tulikua tukishindana Apo nilikua nasoma MAJENGO SEC shule yenye wanafunzi zaidi ya 1000 tulikua na daftar lenye majina nanamba za simu za mademu wote wakali,ilifika kipindi natizama stream nayosoma nimewa chapa wote aisee aikutosha advance nikangwa old Moshi shule ya boys tupu ila mademu wa mucops ushirika Moshi walinikoma kutoka happy nikaingia SUA aisee kwanza sikuwa nangalia sura mna chuo kulikua wote ni Kama ma boys tuuh happy nikawa na kanyaga yoyote mbele yangu..kazini Sasa office inanifahamu SI mteja Wala mabinti wa field wote natafuna mtani ,,nili mpa binti alie nizidi umri miaka 5 Apo nikiwa kidato Cha tatu MAJENGO .....Hadi Sasa sijaowa na Sina mpango na nakimbilia 30 years ila sijali ilo nimejikita msomesha mtoto wangu pamoja na kuwekeza kwenye miradi uku nikiwa na onja mabinti wa 90's na 2000 nao pia Mara moja moja Tena kwa uwangalifu was hali ya juu
 
Back
Top Bottom