Nimewakumbuka wapenzi wangu wa zamani

Yacintha nakukumbuka, mtoto wa Karagwe.

Pendo lako mtambuka, hakuna mfanowe.

Mabaharia walitufitini, mwishowe kuachana.

Gono nikaambulia, tuliporudiana tena.

Alisikika mlevi mmoja, akiimba hili shairi.
 
Wale wanaume wenye tiketi za Air Mbinguni tunapiiiiita kwa mbaaali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeuaaaa
 
nikiwataja wote max melo atanipa life ban.


nitaje kwa makundi.


1 shule X nilikuwa tempo nikala f3&4 wote kama 35 ndani ya miezi 7


2. nikaenda chuo udsm
a)wanachuo 0
b) mahausi gelo 5
c) bugufuni malaya 30+
d)temeke sudani 30+
e) field 1 nikapiga 5+ na mimba juu ndo firt born wangu
f) 10+ na mke nikpata huyo field 2
g) nikawa naenda kumtembelea wife saut mtwara, nikala wamakonde 10+
h) ajirani kituo


niache tu, lakini 500 walishazidi.


nilipoanza kazi nilifukia sana karibia kila kijiji kinachozunguka nilipo nimeharibu vibaya mno yeyote anayenishobokea sikubakiza.


natarajia kumaliza mikopo yote feb 2020 nisajiri 100 nastaafu.
 
Mkuu hiyo miswaki ya Akwila, Leah, Cathe na Irene inatumika kwenye meno tu au na sehemu nyingine za ziada? Maana daah!
Hao ndio Wanaongoza kwa mahudhurio Mr! Huu ni ushahidi wa wanaokesha tuu. Wengine ni wa Day!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…