Nimewamis hawa watu sana jamani jamani

jamani jamani mwache platozoom ma swt bro mbona hivyo jamani hasa weye Asprin, Kaizer ma swtlo na Preta
ooopppsssss tena nakutafuta nikujuze hali ya mum my dear platozoom!! nani tena huyu mod tuandamane jamani?? pole mwaya! ila nitakutembelea mitaa ile, maana ulinifaa wakati wa machungu yangu, sina budi kukufaa pia hapa! lol, pole sana but we are together Amsterdam!
 
Last edited by a moderator:
maisha kila siku yanakuwa magumu Amsterdam tunatafuta namna ya kutoka ..
Karibu tena jamvini
 
Last edited by a moderator:
Heee,
hiyo nyama gani mbona ina vidole kama vya watu, lol,
wewe unatakiwa vile vifinyango vya kuivishia kwenye naniii ndo utatulia, hivi hivi ni kazi bure.

Umeona ubwabwa made ny Mamndenyi?






Vita yako itashindwa tu!!
 
Umewezaje kummiss charminglady wangu halafu ushindwe kunimiss mimi? nimiss na mimi basi. mia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…