Nimewamiss hawa watu Jamani

karibu DA
tunakumis pia hapa kwa Chaaz Hillary.....lakini najua Tasker zimekumiss sana pia!! :smile::smile::smile::smile:
 
ww ndo umepaki nyuma yangu? mi nilikuwa 108......AC yake kali kweli, njoo unipishe naondoka bana!!

Aisee!


Nimejifunza uvumilivu
Sasa nina busara zaidi


Hii ni vere vere!
 
Habari yake Dena Amsi.....mi miss u too!
 
dena ukirudi hebu uje kuniondolea huu utata ulioniwekea hapa chumbani!is vere vere,,,lol!
 
karibu DA
tunakumis pia hapa kwa Chaaz Hillary.....lakini najua Tasker zimekumiss sana pia!! :smile::smile::smile::smile:

Nitakuja leo ila Tusker ndo noma nimezimiss ile mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…