[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji27] [emoji27] [emoji144] mbadoEti Kalumanzila katika mihangaiko yako hukuwahi kukutana na nyoka mwenye mimba?
Hebu jitahidi, yawezekana ikawa ndio bahati ya kurudiana na yule binti[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji27] [emoji27] [emoji144] mbado
Ukiamuaga kupotea nawewe unapotea kama kiuno cha nyoka.
Machozi ya samaki mimi nimewahi kuyaona aisee!!Teh teh.. eti Kiuno cha nyoka...
Sio machozi ya samaki?
Teh.. Macho ya jongoo je?Machozi ya samaki mimi nimewahi kuyaona aisee!!
Siku zingine sijui unakulaga maharage ya wapi!!They have already taken,wewe unaranda randa huku kwa sababu bado upo single and ready to mingle
Hayo hebu tumuulize yule mumeo mwenye jina gumuuu, acha yule mwingine ulombambika mimba.Teh.. Macho ya jongoo je?
Umenifanya na mie niende extra miles kwa kuwaza
Upo single au upo double?They have already taken,wewe unaranda randa huku kwa sababu bado upo single and ready to mingle
Looooooooh!!!......Kwa mara ya kwanza nimetakwa/nimependwa JF!!Upo single au upo double?
Hahahahaha nani kakutaka au kakupenda hapo jamani?Looooooooh!!!......Kwa mara ya kwanza nimetakwa/nimependwa JF!!
Ngoja nikienda snake park tena taulizia hili jambo.Umenifanya na mie niende extra miles kwa kuwaza
Alienitaka ni wewe unaeuliza kama niko single so that we can mingle!!.....Kutakwa ni rahaa sana jamani!!Hahahahaha nani kakutaka au kakupenda hapo jamani?
Unalazimisha kutakwa eeeh??wewe si ulikuwa unaomba kuwa shemeji au sio wewe?Alienitaka ni wewe unaeuliza kama niko single so that we can mingle!!.....Kutakwa ni rahaa sana jamani!!
Ukijua usisahau kunijulishaNgoja nikienda snake park tena taulizia hili jambo.
Hakika takujulisha.Ukijua usisahau kunijulisha
Unalazimisha kutakwa eeeh??wewe si ulikuwa unaomba kuwa shemeji au sio wewe?